amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Marafiki hivi inakuaje you love someone deeply but you don't trust him/her?
Hakuna tatizo kubwa au kosa kubwa lililosababisha nikose kumuamini. Saa nyingine nahisi ni wivu juu yake sasa as a result I drive him away from me na pia i can't reach the level intimacy.
Embu tuongee issue kama hii tunaihandle vipi? Najua wengi wetu inatutokea.
Kwa upande wangu mie huyo mjamaa sikai nae sana anakaa mkoa mwingine bu tunakuwa pamoja at least twice within a month.
Kaunga Nicas Mtei watu8 Smile snowhite Mtambuzi Mentor Asprin ladyfurahia Paloma Nivea King'asti The Boss Evelyn Salt KOKUTONA YNNAH arabella Mwanyasi lara 1 Filipo mwaJ Kaizer gfsonwin MwanajamiiOne
Aisee list ni ndefu sana siimalizi wana MMU kwa ujumla mawazo yenu yanahitajika kuihandle situation ya aina hiyo

Last edited by a moderator: