Kumpenda mtu asiyekujua


Obsession............ Ugonjwa wa akili huo,nenda kamwone daktari wa msgonjwa ya akili ( psychiatric) atakusaidia dada
 
Pole kwa hiyo hali inayokukuta mdada,hizi fantancy walizonazo wadada ni hatari mimi sijui ni mdada wa aina gani kila kitu nachukulia kawaida sinaga obsession na kitu chochote [emoji30][emoji30]
 
Dada unatatizo la kisaikolojia ni pm nitakusaidia uondokane na tatizo hilo kitaalamu tunaita "kisununu" au "kishalalwa".
 
Wanaume kazi tunayo, kumbe wake zetu wana nyumba ndogo huko nje ya nchi na zinawalowesha wakiwa hapa hapa TZ kuliko sisi tunavyoweza kuwalowesha!
 
tuko wengi wewe kutamani ni lazima mfano mm ni msafi kupitiliza unakuta unakutana na jitu linavaa nguo mara mbili halijui kupanga nguo unalinunulia nguo wap zivu kama kichaka loh leo nikutane na msafi mwenzangu kwa nn mate yasinitoke!?
Happymsafi ni msafi pia dear!
 
Mbona hajamtaja ni nani labda prezzooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…