Kumpenda mtu asiyekujua

Am I not me? Very sory for that
 
Yaan we acha tu, uko kama mimi ninavompenda AMADOGO!!! lakini yeye walaaa!! Hana habari na wewe.
 
Do u have a crush on someone?
yes ila sio kihisia yani kiviiiile
hapana!!
nampenda melvingreig na omarion
nawapenda tu
ila sio kwamba nachukulia maanani hapana
kwasababu najua siwezi kuwapata..
kwahiyo siwa feel ile nikiwaona insta nashtuka hapana!!!!
nawaona kawaida tu ila nawapenda
 
Fantasy za wasichana bana..Kuna mmoja Paul walker alivyofakiri eti kakanipigia simu kunipa taarifa huku akilia..Nikaamua nimblock tu

Ahahahahhahhahhaahh
 
kumbe kawaida sipo peke yangu. angalau nimefarijika
tuko wengi wewe kutamani ni lazima mfano mm ni msafi kupitiliza unakuta unakutana na jitu linavaa nguo mara mbili halijui kupanga nguo unalinunulia nguo wap zivu kama kichaka loh leo nikutane na msafi mwenzangu kwa nn mate yasinitoke!?
 
Happy msafi,am jst guesin you are lonely for so long,break the ice gal!
 
siku nyingne akitokea tu weka pause,then vua hyo chupi afu kaa pozi zuri papuch ielekeze usawa wa tv.anaweza akapagawa akatoka humo 'tiviini!'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…