Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka kutuongezea machizi mtaani!!Hizo akili ebu tusaidie jinsi kuongeza viwonder!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka kutuongezea machizi mtaani!!Hizo akili ebu tusaidie jinsi kuongeza viwonder!!!
Hahahahaha vichochoron tena kutakua na usalama tn huko?Tokea lini mtu akatongozwa publicly??.........mimi nataka nimpeleke vichochoroni huko ndo somo litaeleweka vizuri!
Uko unakoelekea utampa limbwata awe boya tena
Huko ndo utalielewa somo vizuri!Hahahahaha vichochoron tena kutakua na usalama tn huko?
Hhmm!!!tabiarist acha mambo yakoHuko ndo utalielewa somo vizuri!
Wewe na shangazi yangu jje's ndo mna mambo,eti mnaniita tabiarist!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Hhmm!!!tabiarist acha mambo yako
Ha ha ha si ndio jina lako ilo lkn,nmelitafsiri tu[emoji1] [emoji28] unamambo kama lilivo jina lakoWewe na shangazi yangu jje's ndo mna mambo,eti mnaniita tabiarist!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpe mapenzi motomotoUnawezaje kumfanya mwanaume apagawe kitandani? Kwa wale wazoefu. Ili ashindwe hata kucheat yani awe kama boya wako....
Mkuu hizo hela hapo kwenye avatar yako ndo kitongozeo nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilitaka nikutongoze mm ila bas tena 😀 😀
Ile avatar yako ya mara ya kwanza ilikuwa nzuri zaidi .Mmmh! Huwezi mfanya mtu awe boya kwako aisee!!! Unaweza fanya mautundu yote na bado akacheat...
Mmetafsiri ila kuna jinsi linachekesha likitamkwa kwa kiswahili![emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha si ndio jina lako ilo lkn,nmelitafsiri tu[emoji1] [emoji28] unamambo kama lilivo jina lako
kuna wanawake hawana huruma sasa mtu akiwa boya kuna raha gani ya kuwa na mpenziTena limbwata la nyama za kukaanga zinawekwa kwenye papuchi ndo litamfaa.
kweli kabisa.Nahisi hii ID ni ya kiume, mtoto wa kike ni mara chache sana kutumia neno "boya"
kuna wanawake hawana huruma sasa mtu akiwa boya kuna raha gani ya kuwa na mpenzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]chukua nyama weka ukeni alafu itoe mpe mwanaume ale nakuambia ni zaidi ya limbwata
Ndo maana nimeitoa!Ile avatar yako ya mara ya kwanza ilikuwa nzuri zaidi .
Ha ha ha[emoji28] [emoji28] unalicheka jina lako mwnywMmetafsiri ila kuna jinsi linachekesha likitamkwa kwa kiswahili![emoji23] [emoji23] [emoji23]