ellyrehema
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 1,197
- 1,018
Dada limbwata unapotea. Wanaume wote tunapenda mwanamke anayekubali kuongozwa, tunataka mwanamke ambaye anakutumikia, eg akufulie nguo zote mpaka chupi, akubrashie viatu, akutandikie kitanda, yaan vyote. Na unatakiwa umsome mumeo yaan kabla hajahitaji kitu uwe umeshajua na kufanya, na ukitaka asitoke akirudi tu akukute uneoga msafi mpe chakula ale, fanya yako yote hakikisha unamtega vya kutosha kwa kuvaa kichangudoa ili asitamani kuona vya nje. Pia jipendekezeeeeeee mama sioa unanuna. Hatupendi wanawake waongeaji na wenye wivu