Kumpagawisha mwanaume

Kumpagawisha mwanaume

mie naamini mapenzi ni hisia..kama unavyopenda kitu flani au msosi flani
basi ukipewa msosi usio utaka lazima ule kishingo upande tu.

Alike to Mwanamke , usiye mtamani na kumpenda hakika huwezi enjoy
naye hata awe na mautundu gani.
 
Awe boya ili iweje mheshimu tu mwanaume wako ajione bora katika wote nawe utaenjoy maisha sana
 
Unawezaje kumfanya mwanaume apagawe kitandani? Kwa wale wazoefu. Ili ashindwe hata kucheat yani awe kama boya wako....
ni PM nikupe mzizi walahi hata kazini hataenda, atakuwa anakaa pembeni yako anasubiri upike ugali ale
 
Back
Top Bottom