Kumnyima mume unyumba ni kumuua?

Akisafiri kwani kina Eliza si wapo? Mi nikikaa siku mbili huwa napata kizunguzungu!

wakina Eliza ndio hao mnaowakidua huko nje?...Chris sema ukweli kumwaibisha shetani, cku 2 huwezi kukaa? sasa akiwa hewani kwa cku 3-4 ndio mnawakimbilia hao wakina Eliza?
 
Labda nilikuwepo kwenye daladala... wanawake gossiping ndio inaturefushia maisha bana

Endelea kujidanganya mwanetu, lakini inategemea na huyo jamaa ako yukoje ss n'tu ya kutoka Tarime lazima utoe kitu.
 
Nyamayao sasa likizo unampa ya siku ngapi? nakuona mkali wewe...
 
hapo kwa blue wee acha tu, nilikukumbuka kwa kweli!!! (kumbe kuna saa mtu u have to...)

na kweli wala hawashindwi hawa viumbe!!! umenikumbusha rafiki yangu anasemaga mpe hata tigo akitaka kula ya nje anakula tu..........which is true ofcoz!!!
 
wakina Eliza ndio hao mnaowakidua huko nje?...Chris sema ukweli kumwaibisha shetani, cku 2 huwezi kukaa? sasa akiwa hewani kwa cku 3-4 ndio mnawakimbilia hao wakina Eliza?

Hapo ndo utakapo ona kazi za nje zitakapo thaminiwa.
Ndo maana mzungu ana akili sana kwenye gari licha ya kuwa kuna magurudumu 4 lakini akaweka na spare.
 
Kwa taarifa yako mi ukinibania ndani ndio ujue ninafurahi kinoma. Manake kesho yake nacheza machezo na kina Eliza kwa raha dhangu. Nyie tubanieni tu eti mkidhani mnatukomoa. Sijui mtafunguka lini akili zenu nyie jinsia ya kike?

sio wote wapo kama nyamayao...mie nikifanya nafanya nikiamua kutoka rohoni yaani huniburuti, nenda kwa huyo eliza wako kwa raha zako wala mshipa hautanicheza lakini twende sawa, yaani unitishie utaenda kwa kina hao eliza kisa home kwako umekukorofisha bac unaona gia ni kwa eliza, nenda baba upunguze yoghurt iyo lakini nickufume.
 
hapo kwa blue wee acha tu, nilikukumbuka kwa kweli!!! (kumbe kuna saa mtu u have to...)

na kweli wala hawashindwi hawa viumbe!!! umenikumbusha rafiki yangu anasemaga mpe hata tigo akitaka kula ya nje anakula tu..........which is true ofcoz!!!

Mamushka huyu ni yule nimjuaye au kaibiwa pasiwedi yake?
Huwezi kuongea pointi nzuri namna hii hakyanani.
Kale kabatani ketu sikaoni jamani jamani jamani!
 
Na ikatokea bahati nzuri ukanifuma?
 
ukimbamba unalianzisha mazima..............
 
Hapo ndo utakapo ona kazi za nje zitakapo thaminiwa.
Ndo maana mzungu ana akili sana kwenye gari licha ya kuwa kuna magurudumu 4 lakini akaweka na spare.

nyie endeleeni kuzithamini lakini nitabana mpaka na mie nitakapoona dhamani yangu imerudi kwenye mstari....nyie inaelekea mnawaburuza sana wanawake nyie, cjui kwanini Chris hukunioa mie mana nadhani marangu wangetuchoka kwa mashtaka sasa tungeyaahamishia kanisani.
 
Mamushka huyu ni yule nimjuaye au kaibiwa pasiwedi yake?
Huwezi kuongea pointi nzuri namna hii hakyanani.
Kale kabatani ketu sikaoni jamani jamani jamani!

its the painfull truth though!!!

hamueleweki nyie watu......aghrrrrrrrrrrrrrrrr!!!

ntaidelete hiyo lomenti ujue biggy!!!
 
Hahahaha unaona shem ni mpole sana ndo maana unamkalia mkichwa.
Mind you watu wapole ni wabaya wanaua kimya kimya na hugundui hivi una hausi geli hapo kwako?
 
Bado hatujachelewa...........

Mi kesi za unyumba kusuluhishwa kanisani ni mwiko. Yaani nimpelekee padre/mchungaji mke wangu anisaidie kummega? Mi kama tumeshindwana, kila mtu achukue hamsini zake. We kamegwe huko nami nikamege huko, tukikutana tukaamua kukumbushiana kwa ajili ya afya ya watoto wetu, poa tu. Ukiamua kurudi baada ya kunogewa tena, poa tu. Msimamo ni uleule: MWANAUME HAKUUMBWA KWA AJILI YA MWANAMKE MMOJA!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mungu alaze pema mwili wa marehemu. (tusemeni ameen kwa sauti kubwa)
 
Mmh hata sipati picha mazingira ya hiki kifo yalikuwaje
..Huyo alikuwa na matatizo yake tu...Mambo ingine bana..Mara wengine wanakufa wakiwa wanakula uroda mara ukinyimwa unakufa...sasa sijui ndio nini??
 
hapo kwa blue wee acha tu, nilikukumbuka kwa kweli!!! (kumbe kuna saa mtu u have to...)

na kweli wala hawashindwi hawa viumbe!!! umenikumbusha rafiki yangu anasemaga mpe hata tigo akitaka kula ya nje anakula tu..........which is true ofcoz!!!

kuna frnd wa mr tulicmamia haruc yake, juzi mkewe kanical analiaa weee, kulikoni? ananiambia alimpa mr kila kitu kutoka mwilini mwake lakini kaja kujua mr ana mwanamke ana mimba nje, na kamuuliza mr, mr kakubali ni kweli ana mwanamke mwenye mimba, nikamuuliza kila kitu umempa kivipi? akaniambia hicho kitu, kidogo nipige yowe kwenye cmu, yaani cjui nani kawaambia wadada wakitoa hiyo ndio wanaume cjui watawapenda/watatulia yaani cjui kabisa....cjui kwa kweli....watafute kitu unique sio hiyo inanunuliwa kwa kina hao Eliza kwa shs 5000...
 
ooh yeah??

ngoja niondoke hapa usiijaribu imani yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…