Kumnbe jk ana uhusiano wa kidamu na wadosi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumnbe jk ana uhusiano wa kidamu na wadosi!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GAMBLER, Dec 4, 2009.

 1. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  delete
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,156
  Trophy Points: 280
  watu bembeeea eehhh bembea mtotoooooo.
  labbda nae ni MTOTO bado
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  jamani!
   
 4. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2009
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  huu ni upuuzi mtupu umekosa la kufanya ?
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  nani sasa JK au G???
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Gerald HANDO wa Clouds leo asubuhi amefafanua kuwa lile si bembea.....ni chombo maalum cha utalii.... na kuwa JK alikuwa mapumzikoni kama alivyoshauriwa na madakatari....magazeti yametuambia eti ile ni ziara ya kikazi.....sijui tumwamini nani.
   
 7. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  ushauri wa bure kwa mtoa mada, kama unatumia pombe acha mara moja!
   
 8. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Pia ajaribu kunywa maji yatamfaa zaidi
   
 9. nkawa

  nkawa Senior Member

  #9
  Dec 4, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si pombe tu hata Mihadarati.....
   
 10. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  aaaaaahhhh the home of great thinkers
   
 11. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  atumie klorokwini???????
   
 12. Azikiwe

  Azikiwe Senior Member

  #12
  Dec 4, 2009
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ile si bembea, period!
   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  lo ya jk yamewauma kiasi hicho...............chukueni kamba au uzi wa buibui mjinyonge.................
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  atumie bembea la jamaica anaweza kupota..................mbona jk ametumia hajaanguka tena?
   
 15. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  kakakaka mwambie huyo niliem-bold afute kauli la sivyo atakua anamzalilisha daktari wa ikulu.

  tunajua huyu mkubwa mara nyingi hupata kizunguzungu sasa kwenye ile bembea (ambayo nyie mnaita chombo maalum) na kwenye ndege/gari ni wapi kuna kizunguzungu? na vile mama yetu alivyo kua amekaa pale na vazi lile hivi ingetokea emergence yeyote ingekuaje?

  wewe safari ni safari umenipata hapo?
   
 16. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  bila kusahau juisi ya parachichi nayo inatibu ugonjwa wa kusahau.............................mwandishi amechanganya mambo au hakuona vizuri....rais hakuna anabembea alikuwa akibembea huku anatalii......msichanganye mambo........
   
 17. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  anaonekana kukosa la kufanya kwa vile tu wewe ni mtu wa pwani..........si ajabu unatoka sehemu moja na mhashimiwa..............we ndo umekosa na kusema.....
   
 18. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Alternatively kama hanywi aanze inaweza kumsaidia, sometimes pombe husaidia husaidia watu wenye stredss ikinywewa kwa kiasi cha mtumiaji.
   
 19. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  ya.....its true
   
 20. F

  Future-Tanzania JF-Expert Member

  #20
  Dec 4, 2009
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Are you serious with this!!!!!
   
Loading...