Kumkopesha baba mwenye nyumba

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
Je mlishawahi kufanya hiki kitu? Nataka nimkopeshe baba mwenye nyumba pesa milioni 20, ambapo kila mwezi atarejesha 1000,000 kama riba kwa miezi mitatu.je imeekaaje wenzangu.hofu yangu naona kweny kudai hizo pesa baada ya muda kuisha,je kuna mtu anauzoefu na hii kitu?
 
Unakopesha milion 20 alafu unaishi nyumba ya kupanga??? Tena unakaa hapo hapo na mwenye nyumba??.
 
Usijaribu mkuu, narudia tena usijaribu. Bora uhame nyumba
 
Je mlishawahi kufanya hiki kitu? Nataka nimkopeshe baba mwenye nyumba pesa milioni 20, ambapo kila mwezi atarejesha 1000,000 kama riba kwa miezi mitatu.je imeekaaje wenzangu.hofu yangu naona kweny kudai hizo pesa baada ya muda kuisha,je kuna mtu anauzoefu na hii kitu?
Umejuaje kama utadai hapo baadaye?
 
Umejuaje kama utadai hapo baadaye?
Si unajua tena mambo ya pesa mzee lolote inaweza tokea.anataka kufanya biashara ya sukari kuweka stock na kuzungusha.mfano biashara imeenda kombo inakuwaje hapo?
 
Si unajua tena mambo ya pesa mzee lolote inaweza tokea.anataka kufanya biashara ya sukari kuweka stock na kuzungusha.mfano biashara imeenda kombo inakuwaje hapo?
Dhamana iwe nyumba hiyo ukaayo!
 
Duniani bado kuna malofa ya akili. Eti 20 m yakumkopesha mtu unayo ilhali unakaa nyumba ya kupanga tena uswahilini maana huko ndiko wapangaji wanakokaa na wenye nyumba. Kama wewe huna laana ya wazazi wako basi utakua bwege wa kutupwa.
Ushauri wangu . Mkopeshe tu kesho na kesho kutwa atakubambikia ndoa ya mkeka na binti yake single mother
 
Watu mnao hukumu.....mnajuaje kama yeye hana nyumba ila tu ameamua tu kupanga.....!!!?

Mtu anaomba ushauri wa jambo lingine anashauriwa jambo lingine
 
Mkuu mwenye nyumba kakuloga huyo. Haiwezekani una uwezo wa kukopesha m20 alafu bado unaishi kwake. Kuna walakini hapo
 
Dogo hata usingizi wala pesa isitoshe hata mpenzi hana. Ndio maana anawaza kumkopesha mtu aliyemuhifadhi mjini ili asimbughudhi kwa kumdai kodi.
Ndio maana JF ya zama hizi imejaa stori za kutunga zisizo na uhalisia na uongo mwingi mwingi

Yani ni kakijiwe flani ka kupigia porojo na kusogeza siku
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom