Kumkopesha baba mwenye nyumba

Unatakiwa umkopeshe mtu unaye weza kumdai tena kwa maandishi na shahidi juu..
 
Je mlishawahi kufanya hiki kitu? Nataka nimkopeshe baba mwenye nyumba pesa milioni 20, ambapo kila mwezi atarejesha 1000,000 kama riba kwa miezi mitatu.je imeekaaje wenzangu.hofu yangu naona kweny kudai hizo pesa baada ya muda kuisha,je kuna mtu anauzoefu na hii kitu?
Hamna mtu mwenye 20m hapo. Kama kweli una 20m basi ungekuwa unaishi kwako au umepanga unakoishi peke yako. Hii ni post ya kupitisha mda tu
 
Back
Top Bottom