Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,971
- Thread starter
- #21
Ndio mimi nilikuwa mdogo bado. Hakuolewa lakini alienda mpaka form iv ndo akaolewa baadae ndo akaja kuendelea na chuo. Mmmhh hiyo 27 tena anakataa nini sasa au nae hajatulia?? Mwambia aolewe
Huwezi amini hana bf ni mkimya sana huwezi mkuta anaongelea mambo ya wachumba na wala hajichanganyi na watu.Poa taangalia na hili