Kumkataa Mchumba wa kwanza ni nuksi?

Kumkataa Mchumba wa kwanza ni nuksi?

Ukweli nadhani upo, Mimi kuna Mtu alinikataa mwaka 1996 then, nikaoa mwingine lakini yy mpaka leo hajaolewa, Mimi nilishaoa na Mungu amenijalia nimepata na Watoto. Liakini nazidi kumuombea ili ije ifike cku apata wa kumuoa ila tatizo umri unaenda.

Huyo alikukataaa kwa mbwembwe nyingi au ilikuwa kawaida tu? kumbe yapoyapo kwa chati
 
Ni nuksi kama mlikua wapenzi wa muda mrefu mkaahidiana kuoana halafu wewe baada ya muda ukamtosa wakati yeye alishaweka matumaini yake kwako so yale manung'uniko yake yanaweza kuwa laana kwako. Lakini kama mtu hamkuwa wapenzi wala hamjaahidiana lolote hamna cha nuksi wala nini hapo unakataa tu kama hujampenda.

Ahsante Maty hii point yako ina ukweli ndani yake
 
Mimi nadhani ni nuksi iwapo umemkataa with baseless reasons....! Lakini kama hujamuonea na hivyo ukawa na sababu ya msingi basi nuksi haitakuwepo.....
 
Ni nuksi ukimkataa anayekupenda kwa dhati pia hata wazazi wanachangia

kuna dadangu alipata mwanaume aliyempenda ila wazazi wakakataa asiolewe naye huwezi amini mpaka sasa hajaolewa na anamiaka 50
 
..............................

Nikiangalia kuna ndugu zangu wawili wanawake watu wazima nao naambiwa na ma mdogo waliwakataa wachumba wao wa kwanza huko zamani na sasa ni watu wazima mmoja kajizalia watoto mwingine bado hajazaa.Naomba wanaJf wanijuze hii ni kweli? vipi kwenye jamii inayokuzunguka yupo aliyekataa kuolewa badae akakosa mume? Hii ipo katika karne hii ya millenium?naomba kuwakilisha

Ni kweli kabisa hasa pale inapokuwa wazi kuwa sababu za kumkataa mchumba si za msingi au hazishaiwishi watu hata kidogo. Kukumbuka kuwa midomo uumba, na pale inapokutana na imani ndogo kwa maana ya kutokuwa na sababu za msingi za mkumkataa mtu (yaani roho yako itakapo kusuta tu) basi utalaanika tu. Labda niseme hivi kwa siku hizi mtu anaweza kulazimisha mchumba wa aina fulani (kwa utashi zaidi badala ya kuongozwa na roho ikiwemo watu waliokuzidi umri say wazazi) hizi ukaishia ndoa ya siku 90 au 365.

Tusjidanganye kuwa match making siku hizi imepitwa na wakati! La hasha Mbali na kuwa siku hizi kijana anafanya sampling mwenyewe mwisho wa siku wazazi, marafiki au mtu mwingine yeyote ana-sanction hiyo choice. Ukipata feedback nzuri well and good, ukipata feedback mbaya ukaendelea ahead badala ya address hizo negative feedback chances are itakula kwako someday - hili ni wazi sana.

Nachosema ni kwamba role ya zamani bado ipo sana isipkuwa ni implied zaidi kwa sababu vijana siku hizi tuko exposed sana, kwa hiyo badala ya wazazi kwenda kushika mkono binti na kumpelekea kwa kijana (walifanya hivyo kwa kuangalia certain qualities) siku hizi unafunzwa zaidi kufahamu hizo qualities ili ufanya choice sahihi. Tatizo linatokea ni pale wazazi wapo-interpret (kisahihi kabisa) kuwa choice yako si sahihi wakati kijana hakubaliani na hiyo assessment- tukumbuke kuwa wazazi watatufahamu vizuri zaidi after all.
 
Imani tu ndugu yangu!! Mimi nina dada yangu alikataa wachumba saba wengine hata alikuwa hawajui lakini kaolewa vizuri na ana watoto wanne

Mmmh, shortlisting yake ilikuwa na kali sana, maana applicants saba si mchezo. Alialika wataalamu wa recruitment na selection firms?
 
Ni kweli kabisa hasa pale inapokuwa wazi kuwa sababu za kumkataa mchumba si za msingi au hazishaiwishi watu hata kidogo. Kukumbuka kuwa midomo uumba, na pale inapokutana na imani ndogo kwa maana ya kutokuwa na sababu za msingi za mkumkataa mtu (yaani roho yako itakapo kusuta tu) basi utalaanika tu. Labda niseme hivi kwa siku hizi mtu anaweza kulazimisha mchumba wa aina fulani (kwa utashi zaidi badala ya kuongozwa na roho ikiwemo watu waliokuzidi umri say wazazi) hizi ukaishia ndoa ya siku 90 au 365.

Tusjidanganye kuwa match making siku hizi imepitwa na wakati! La hasha Mbali na kuwa siku hizi kijana anafanya sampling mwenyewe mwisho wa siku wazazi, marafiki au mtu mwingine yeyote ana-sanction hiyo choice. Ukipata feedback nzuri well and good, ukipata feedback mbaya ukaendelea ahead badala ya address hizo negative feedback chances are itakula kwako someday - hili ni wazi sana.

Nachosema ni kwamba role ya zamani bado ipo sana isipkuwa ni implied zaidi kwa sababu vijana siku hizi tuko exposed sana, kwa hiyo badala ya wazazi kwenda kushika mkono binti na kumpelekea kwa kijana (walifanya hivyo kwa kuangalia certain qualities) siku hizi unafunzwa zaidi kufahamu hizo qualities ili ufanya choice sahihi. Tatizo linatokea ni pale wazazi wapo-interpret (kisahihi kabisa) kuwa choice yako si sahihi wakati kijana hakubaliani na hiyo assessment- tukumbuke kuwa wazazi watatufahamu vizuri zaidi after all.

Ulikuwa wapi kaka Mo-Town? umetoa point sana aisee, ila all in all inategemea msichana kamkataa mchumba ki vipi!
 
Si kweli Gaga

Yah first Lady hata mimi huwa siamini haya ila linaposimamiwa na wakubwa ina bidi ujiulize mara mbili, ndio maana naomba mawazo yenu ili nimpe dogo ushauri
 
Ni kweli kabisa hasa pale inapokuwa wazi kuwa sababu za kumkataa mchumba si za msingi au hazishaiwishi watu hata kidogo. Kukumbuka kuwa midomo uumba, na pale inapokutana na imani ndogo kwa maana ya kutokuwa na sababu za msingi za mkumkataa mtu (yaani roho yako itakapo kusuta tu) basi utalaanika tu. Labda niseme hivi kwa siku hizi mtu anaweza kulazimisha mchumba wa aina fulani (kwa utashi zaidi badala ya kuongozwa na roho ikiwemo watu waliokuzidi umri say wazazi) hizi ukaishia ndoa ya siku 90 au 365.

Tusjidanganye kuwa match making siku hizi imepitwa na wakati! La hasha Mbali na kuwa siku hizi kijana anafanya sampling mwenyewe mwisho wa siku wazazi, marafiki au mtu mwingine yeyote ana-sanction hiyo choice. Ukipata feedback nzuri well and good, ukipata feedback mbaya ukaendelea ahead badala ya address hizo negative feedback chances are itakula kwako someday - hili ni wazi sana.

Nachosema ni kwamba role ya zamani bado ipo sana isipkuwa ni implied zaidi kwa sababu vijana siku hizi tuko exposed sana, kwa hiyo badala ya wazazi kwenda kushika mkono binti na kumpelekea kwa kijana (walifanya hivyo kwa kuangalia certain qualities) siku hizi unafunzwa zaidi kufahamu hizo qualities ili ufanya choice sahihi. Tatizo linatokea ni pale wazazi wapo-interpret (kisahihi kabisa) kuwa choice yako si sahihi wakati kijana hakubaliani na hiyo assessment- tukumbuke kuwa wazazi watatufahamu vizuri zaidi after all.

Ahsante sana umenijibu kwa mapana na marefu nashukuru sana motown kwa kujitolea muda wako kufafanua kwa kina namna hii. Mungu akubariki
 
hii kitu haina correlation kabisa ni mawazo potofu,ingekuwa hivyo wengi sana wasingeolewa,hebu jiulize pia je mwanaume anayemwacha mchumba wake wa kwanza nae hupata nuksi?why only dada zetu?hizi ni myth kama msomi na mwenye kumwamini mungu don't buy them.
 
Aisee hii sidhani kama ina ukweli japo kwetu pia kuna sis wangu alikataa mchumba miaka ya zamani na alikuwa boyfriend wake alipopeleka posa kwa wazaai akasita kuolewa akidai yule ni muislam na yeye mkristo, akapata mwanamme mkristo mapenzi motomoto walipofikia mbali kutaka kuoana akagundua jamaa ana mke baada ya ndugu mwingine kuona picha ya harusi kwenye magazeti chakavu, yule jamaa muislam alikuwa keshaoa tena mke mwingine, sista akajikuta mikononi mwa mwanaume abusive mwarabu na muislam kazaa nae watoto wawili na sasa hivi wameachana anaishi maisha ya upweke peke yake sanasana kawa mwizi kwa yule first love wake aliyemkataa
Nahisi kuna pigo fulani mtu anapata akifanya haya hasa yale ya kuumiza sana mtu uliyekuwa nae, kama hivi unamkataa mchumba ambae ulikuwa nae muda mrefu kama boyfriend wako.Nakumbuka yule kaka wa kwanza alilia sana mpaka kulazwa. na haya ni malipo yake

mmh yahusu...
Naamin awal awal tu..
 
hii kitu haina correlation kabisa ni mawazo potofu,ingekuwa hivyo wengi sana wasingeolewa,hebu jiulize pia je mwanaume anayemwacha mchumba wake wa kwanza nae hupata nuksi?why only dada zetu?hizi ni myth kama msomi na mwenye kumwamini mungu don't buy them.

Ahsante ni ajabu mpaka leo watu bado wanaamini hivi vitu. thanx kwa ushauri
 
Sijakuelewa PAS fafanua ueleweke awali ni awali as ukimwacha mchumba huolewi au vipi?

Awali inaweza kuwa awali lakini akikorofishwa anapigwa chini watu wanaendelea na mambo mengine, by the way dogo kakubali kudate ila waangaliane tabia kwanza then ndio mambo mengine yaaendelee
 
Kuna kitu hii huwa naisikia sana kwa watu wazima,zamani kabla ya miaka ya tisini wasichana wengi walikuwa wanatafutiwa wachumba, au wazee wa jirani au ukoo fulani wanaleta posa moja kwa moja nyumbani kwa wazazi wa msichana husika,kwa wakati huo ukikuta kuna msichana yupo kwao mpaka miaka 40 hajaolewa ukiuliza utasikia huyu alimkata mchumba wake wa kwanza akapata laana kwa mungu

Nikiangalia kuna ndugu zangu wawili wanawake watu wazima nao naambiwa na ma mdogo waliwakataa wachumba wao wa kwanza huko zamani na sasa ni watu wazima mmoja kajizalia watoto mwingine bado hajazaa.Naomba wanaJf wanijuze hii ni kweli? vipi kwenye jamii inayokuzunguka yupo aliyekataa kuolewa badae akakosa mume? Hii ipo katika karne hii ya millenium?naomba kuwakilisha

Ni kweli
 
Mwenzangu embu toeni mauzoefu mdongo wangu aondoe hofu, kachumbiwa na mkaka mmoja yeye anataka kutoa nje, ila ma mdogo kaleta hizi story za zamani zinamtia hofu.
ishu sawa anatolea nje kwa sababu gani za msingi tatizo lipo hapa...wadada wengi hawajielewi..utasikia mtu hana pesa..mara anataka mwenye hiki,,,au awe na wadhifa...maisha yanasakwa na wadhifa unakuja tu na kuondoka....mtu anatakiwa ajue mwanaume anafaa as long as ana akili na ufahamu wa kutafuta maisha/pesa kuhudumia familia..mwisho wa siku anakataa sawa...kesho atakuja mume wa mtu ndio atamfuata na ataona kama ndio anafaa,,,lakini kumbe wa mtu tayari,,..na miaka hii sio kama ya zamani...waoaji hawapo kama zamani...yani kuoa kugumu kwa kuwa wadada ni wengi..kuolewa kugumu kwa kuwa waoaji hawapo.....sasa hiv wimbi la vivulana kuliwa ni kubwa sana..hivo havitaoa..labda violewe sasa kisirisiri....wadada wengin pia wajuaji...sisemi hizo story zimtishe au laa..ila logic ikoje...na asikubali tu ilimradi asije akawa analishwa sumu na mdada mwnzie ambaya naye hajaolewa au kaachika .....sio anafik aage fulani anaanza kulaani wanaume kuwa wlimchezea hawaoi...kunamengi zaidi ila lazima mhusika kwanza ajitambue...siku hizi maigizo mengi kwa pande zote ...binafsi nikipropose ukakataa siuridd maan ampaka nimepropose nimamua kuaacha wengi yami nina list ila lazima nitoe mmoja...ukikataa narudi kuwa mwingine...maana wanaume huwa tuna wanawake weng b4 na tunaamua kupick mmoja kuoa ndio tunaachana na wengine...au ukishakuwa serous naye wengine unapotezea........
so hakun ajibu moja kwa moja ila wengine wanapoteza nafasi zza pekee sisi ndio tunaita nuksi..yani utakuta huyo ndio alitakiwa awe mume wake ni yeye jukumu lake kumbadilisha hhuyo mwanaume kwenye mapungufu ilakwa kuwa wanataka ready made kuanzia uchumi tabia etc basi wanakataa..baada ndo inaonekana alikuwa yeye tu wengone hawaendi maan awana propose kwa wengine wengi waliopo....

so neno nuksi sidhani kama linamaana au nsahihi sem asisi tunalitumia bad..kwanza nuksi nin nini...naona kama n hatai mbaya tu .....maana akikubali sawa..akikataa ni probability na chances kuwa mwingine atakuja n alini? hapa ni hesabu tu..ila pia anampenda au la..aolewe tu ilimradi aolewe...so choose marriage au proper marriage...akitaka proper asubir zaid akate tu na ajue ana risk..pia..na naweza yeye akaifanya proper....siku hiz mambo complicated...nashangaa sana..mdada anafuatwa analishwa sumu namwenzake hayaolew au kaachika.....
 
Back
Top Bottom