Kumkataa Mchumba wa kwanza ni nuksi?

Kumkataa Mchumba wa kwanza ni nuksi?

Mimi pia nilikataa mchumba wangu kuolewa. naendelea kuhesabu namba i hope hapa sasa kitaeleweka naomba yasinikute haya.pepo mbaya tokaaaaaaaaaaaa
ulikuwa na umri gani n awapi...maana kwa muda ule inaweza uilon aok sa hv unahisi ulikosea pia..maan alife goes on daily hakun atofauti sana..labda uliona huja enjoy maisha maybe au not ready tu....
 
Aisee hii sidhani kama ina ukweli japo kwetu pia kuna sis wangu alikataa mchumba miaka ya zamani na alikuwa boyfriend wake alipopeleka posa kwa wazaai akasita kuolewa akidai yule ni muislam na yeye mkristo, akapata mwanamme mkristo mapenzi motomoto walipofikia mbali kutaka kuoana akagundua jamaa ana mke baada ya ndugu mwingine kuona picha ya harusi kwenye magazeti chakavu, yule jamaa muislam alikuwa keshaoa tena mke mwingine, sista akajikuta mikononi mwa mwanaume abusive mwarabu na muislam kazaa nae watoto wawili na sasa hivi wameachana anaishi maisha ya upweke peke yake sanasana kawa mwizi kwa yule first love wake aliyemkataa
Nahisi kuna pigo fulani mtu anapata akifanya haya hasa yale ya kuumiza sana mtu uliyekuwa nae, kama hivi unamkataa mchumba ambae ulikuwa nae muda mrefu kama boyfriend wako.Nakumbuka yule kaka wa kwanza alilia sana mpaka kulazwa. na haya ni malipo yake
what human see is different to how God see, yani karuka maji kakanyaga kinyesi...ila sio kosa lake yani hakujua...decision by nature...japo alichokikimbia ndi kaangukia hapo hapo...tena bora mwanzo..alikataa dini fulani na kaangukia hapo hapo....kumbe wa kwanza ndio sahihi...wa pili alimpiga fix...ndio nilichosema kuwa ishu sio kukataapia ana wahsuair gani au anayemkataa ana kasoro gani...sio mtuunachagua saana af unakuja kukubali ulipokuwa unakataa..kama mtu hawezi kukataa n akukaa bila kuolewa kabiisa bila shida ya kusumbua wengine bora aolewe ..kuliko kuwa mwizi etc....kunandoa zinaduku watu dini tofauti etc...so pia bahati na bahati mbaya na wrong decision bila kujua, watu wazima wanasema mdada akiwa 20+ anafaa kuolewa kama anajitambua kimaadili...adfter that ni challnge za maisga au ndoa kwa kila mtu
 
Ni nuksi kama mlikua wapenzi wa muda mrefu mkaahidiana kuoana halafu wewe baada ya muda ukamtosa wakati yeye alishaweka matumaini yake kwako so yale manung'uniko yake yanaweza kuwa laana kwako. Lakini kama mtu hamkuwa wapenzi wala hamjaahidiana lolote hamna cha nuksi wala nini hapo unakataa tu kama hujampenda.
well sadi no agreement hakuna nuksi..maana watu wanakutana huko wanaanza kuzini tu wanaachana wanaaza kulia...ila well relationship af unamsaliti ghafla hiyo mbaya
 
Ukweli nadhani upo, Mimi kuna Mtu alinikataa mwaka 1996 then, nikaoa mwingine lakini yy mpaka leo hajaolewa, Mimi nilishaoa na Mungu amenijalia nimepata na Watoto. Liakini nazidi kumuombea ili ije ifike cku apata wa kumuoa ila tatizo umri unaenda.
POINT: sasa kwa kuhis au scenario unadahni kwanii alikataa muda huo? alikuwa selective au alion aun amweleoa au hakupendi au alikuwa ameshauriwa tofauti au vipi etc?
this is what i said kuwa mdada akikataa awe na utayari wa risk kwa kizazi hiki maana waoaji tuko wachache waolewaji wengi sana..pia inawezekana anasema bora angekukubali maana anaona umesettle kuwa mume bora kwa mkeo n ababa bora kwa watoto...hivi vitu vya kujifunza maan ami pi nataka kuoa ila nimeona mengi yanatokea kwa watu
 
Ni nuksi ukimkataa anayekupenda kwa dhati pia hata wazazi wanachangia

kuna dadangu alipata mwanaume aliyempenda ila wazazi wakakataa asiolewe naye huwezi amini mpaka sasa hajaolewa na anamiaka 50
please wazazi sasa hivi wanasemaje au hawapo na yeye akirudi nyuma kimawazo anawaza au anasema nini...nahisi in create separation from parents na daughter..maaa kiafrika wazazi pia ni mabingwa wa kuharibu bila kujua aukwa kujua, hivi angeamua kuolewa kilazima bila ridhaa ya wazazi angekosea?
 
Ni kweli kabisa hasa pale inapokuwa wazi kuwa sababu za kumkataa mchumba si za msingi au hazishaiwishi watu hata kidogo. Kukumbuka kuwa midomo uumba, na pale inapokutana na imani ndogo kwa maana ya kutokuwa na sababu za msingi za mkumkataa mtu (yaani roho yako itakapo kusuta tu) basi utalaanika tu. Labda niseme hivi kwa siku hizi mtu anaweza kulazimisha mchumba wa aina fulani (kwa utashi zaidi badala ya kuongozwa na roho ikiwemo watu waliokuzidi umri say wazazi) hizi ukaishia ndoa ya siku 90 au 365.

Tusjidanganye kuwa match making siku hizi imepitwa na wakati! La hasha Mbali na kuwa siku hizi kijana anafanya sampling mwenyewe mwisho wa siku wazazi, marafiki au mtu mwingine yeyote ana-sanction hiyo choice. Ukipata feedback nzuri well and good, ukipata feedback mbaya ukaendelea ahead badala ya address hizo negative feedback chances are itakula kwako someday - hili ni wazi sana.

Nachosema ni kwamba role ya zamani bado ipo sana isipkuwa ni implied zaidi kwa sababu vijana siku hizi tuko exposed sana, kwa hiyo badala ya wazazi kwenda kushika mkono binti na kumpelekea kwa kijana (walifanya hivyo kwa kuangalia certain qualities) siku hizi unafunzwa zaidi kufahamu hizo qualities ili ufanya choice sahihi. Tatizo linatokea ni pale wazazi wapo-interpret (kisahihi kabisa) kuwa choice yako si sahihi wakati kijana hakubaliani na hiyo assessment- tukumbuke kuwa wazazi watatufahamu vizuri zaidi after all.
hawa hawa wazazi wanalaani kuwa binti kamroga kijana wao ili amuoe, mara binti yao anagogwa ili asiolewe na wanasema kama walimzaa kijana wao basi asio fulani na mara hawatahudhuria harusi, ajabu KARMA wazazi wengina nao wanampinga kijana wao asio binti wa hao wazazi ambao nao walipinga kijana wao asioe sehemu fulani...na pia washazuia vijana kuoa sababu wanatoa wao tu hazina msingi maaana kitabia mabinti wako vizuri sana wna ushuhuda mzuri...ila kabila inakuwa sababu pia...sasa unajiuliza wazazi nao wa iafrika ni tatizo sana.....wanakataa bila sababu za msingi..yakiwarudia wao wanalalamika tena.....
 
Mwenzangu embu toeni mauzoefu mdongo wangu aondoe hofu, kachumbiwa na mkaka mmoja yeye anataka kutoa nje, ila ma mdogo kaleta hizi story za zamani zinamtia hofu.
hilo jambo kwa kiasi fulani, ndoa ni jambo jema kutoka kwa BWANA, na ilimeletwa kwa makusudi maalum, ili kuwa furaha kwa wanandoa, na mara nyingi ndoa njema ni ile yenye kibali kutoka kwa BWANA, kama amekuja mtu kwako kwa nia ya ndoa na sababu za kumkataa zikiwa ni zile zinaongozwa na ubinafsi na choyo ni wazi hauwezi kuwa salama, mshauri mdogo wako afikirie mara ya pili, ikiwa sababu zake za kutomkubali sio za mashiko hawezi kuwa salama, niishie hapo kwa sasa!
 
hilo jambo kwa kiasi fulani, ndoa ni jambo jema kutoka kwa BWANA, na ilimeletwa kwa makusudi maalum, ili kuwa furaha kwa wanandoa, na mara nyingi ndoa njema ni ile yenye kibali kutoka kwa BWANA, kama amekuja mtu kwako kwa nia ya ndoa na sababu za kumkataa zikiwa ni zile zinaongozwa na ubinafsi na choyo ni wazi hauwezi kuwa salama, mshauri mdogo wako afikirie mara ya pili, ikiwa sababu zake za kutomkubali sio za mashiko hawezi kuwa salama, niishie hapo kwa sasa!

Mke mwema huletwa kupitia maombi ya Mungu
 
sio nuksi..WWE MTOMBE, MPE CHAKE...KISHA NENDA KAZINI.
 
Exactly, sasa MUNGU anapokuletea mtu ukamkataa purely on selfishness what do you expect?, unaweza ndio ukawa umejifungia baraka kwa muda mrefu sana aisee!

Kwa hiyo mkuu mleta mada yuko sahihi?
 
Sioni nuksi hapo...hiyo ni Karma!!...be nice to others...unajua hata kumkataa mtu kukuoa unamkataaje.....just be nice to all people. Utakuta binti anamuambia mwanume kuwa Limwanaume lenyewe sjui nini? hapo unatafuta laana .Unaweza usiwe tayari kuolewa na mtu na ukampa jibu lakini in Positive way pasipo kumuumiza. UKIMUUMIZA HAPO UNAMPA OPPORTUNITY YA KUKULAANI MAANA WANADAMU WAMEUMBWA KWA MFANO WA MUNGU MANENO YAO KATIKA IMANI YANA UMBA!!
 
Back
Top Bottom