TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,551
- 20,260
Wadau, hii tabia ya mwanaume kumkagua mpenzi wake kunako nyeti ili kujua kama siku hiyo ame-cheat imekaaje? Yaani kila akirudi kutoka kazini mwendo ni 'haya..panda mezani.. Lete tochi..ehee.. Nyanyua kidogo..ewaa!' haya ni mapenzi..? Wivu uliopitiliza..? Kukosa uaminifu..? Nini?