Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Sasa huyo unayempa pongezi sana..siku akikagua akagundua kuwa huyo mpenziwe 'kaliwa' atafanyaje? Kama atamuacha si bora amuache tu tangu sasa..si hamuamini! Kama hatamuacha basi aache kumdhalilisha dada wa watu. Huyo dada naye punguhani, yaani kila ukirudi safari um'manulie huyo zumbukuku akukague...utumwa huo!
Anampa pongezi kwa sababu Kuachwa haachwi na chamoto atakiona............................!
Anakula kichapo tu...........................!
Ila dah jamaa jasiri kwa hiyo anapekenyua na kumulika kwa tochi lipapuchi duh teh teh teh........................!
Anafaa kuwa mkunga huyo jamaa...........................!:rockon: