Kumkagua mpenzi wako.. Imekaaje?

Kumkagua mpenzi wako.. Imekaaje?

Du, kumbenua mwenzio nini tena.Kama humwamini si umwambie tuu kuliko unyanyasaji huo.Huo sio wivu bali ni unyanyasaji na kuzalilishana.Kwa kweli dawa ya huyo ni kusubiri tuu asogeze mimacho yake akijidai anakukagua unamrushia mkojo kwenye macho halafu wewe kimya.
 
nafanya asubuhi....mpaka jioni nitakuwa nimeshapoa.......ma**na zake huyo anayenikagua.........

ahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa_asubuhi kabla ya kupiga mswaki ama....ila hii nayo kali_kukaguana tena...mmmmmh
 
Hayo yapo wakuu na yanafanyika sana,ila ukihisi katoka kuliwa akifika home na wewe muombe hapohapo atakataa lazimisha cha moto atakiona utajua maana itakua mtepeto

Wacha we! Mh, duniani kuna mambo
 
Duh hakika hii nayo ni kali, kama mkaguliwa hapendi hiyo hali sidhani kama kuna ndoa hapo.
 
Mhhhh huo ni udhalilishaji uliopitiliza!!!!!!walaaniwe wanaume wanofanya hivyo na ikiwezekana sheria ya udhalilishaji itungwe ili kukomesha utumwa huo wa ndani ya ndoa.
 
yeah u gotta keep tabs on these ladies...before u know it another nigga be hitting it badly
 
wote mkaguliwa na mkaguzi ni makauzu zaidi ya dagaa
panda juu ya meza,na ww unapanda kwani upo labour heee!
 
Huyo jamaa kila siku ujasiri wa kuiangalia anautoa wapi jamani,jinsi kitu yenyewe inavyotisha!,nahisi sura ya huyo mchunguliaji itatakuwa imekunjamana kama ya Predators.
 
na huyo mke na anapamua miguu akaguliwe... ama kweli mapaa na kuta 4 yanaficha mengi...
 
Hayo yapo wakuu na yanafanyika sana,ila ukihisi katoka kuliwa akifika home na wewe muombe hapohapo atakataa lazimisha cha moto atakiona utajua maana itakua mtepeto
aah wapi, akimaliza akaoga fresh akirudi home iko safi kabisa.., labda kama wanafanyia vichakani akimaliza hakuna kuoga!
 
Nimegundua ni kwa nini vichaa wanaona wenye akili timamu vichaa....hapa mmoja safi mwingine kichaa sasa ukichanganya na ugunduzi wangu woooooooooooooooooooooooooote ni machizi.
 
Mhhhh huo ni udhalilishaji uliopitiliza!!!!!!walaaniwe wanaume wanofanya hivyo na ikiwezekana sheria ya udhalilishaji itungwe ili kukomesha utumwa huo wa ndani ya ndoa.

Sister vipi kama sheria ikaanza home leo, ungefanyaje?
 
nafanya asubuhi....mpaka jioni nitakuwa nimeshapoa.......ma**na zake huyo anayenikagua.........

Tatizo hakijulikani nini anaangalia, inaweza isisaidie labda ana vipimo macho.......Hawa ni watu na viatu.
 
Wadau, hii tabia ya mwanaume kumkagua mpenzi wake kunako nyeti ili kujua kama siku hiyo ame-cheat imekaaje? Yaani kila akirudi kutoka kazini mwendo ni 'haya..panda mezani.. Lete tochi..ehee.. Nyanyua kidogo..ewaa!' ......
Interesting! Hivi huwa anaangalia nini hasa ili kubaini kama "wasela" wameshapitia?
 
Back
Top Bottom