Project Engineer
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,578
- 6,101
Gari ni muhimu kuliko kujenga?Ukitaka kuona umuhimu wa gari mvua iwe inanyesha dsm
NB: Kwasasa gari ni hitaji muhimu sana kama unauwezo na si anasa tena kama akili za wengi zilivyo
Gari ni muhimu kuliko kujenga?Ukitaka kuona umuhimu wa gari mvua iwe inanyesha dsm
NB: Kwasasa gari ni hitaji muhimu sana kama unauwezo na si anasa tena kama akili za wengi zilivyo
Wanadai ukiwa na gari Basi utachakata mbususu Tani yako hii pointi ni uongo mkubwa na ulio tukuka....ukiwa na gari tayari unakua upo kwenye kwenye zizi hapa hao mademu utakutana nao wapi Kama kwenye usafiri wa Uma haupo yaani wewe kila sehemu unayoenda tayari umesha jipiga Pini na kuhusu kuzoa watu njiani ndio hofu kubwa Sana cos muda wote unakuwa na hofu ya kutekwa tekwa na kuibiwa. Sasa hao mademu utawapata vipi.....? Labda kurudi na mabaamedi nyumbani baada ya tungi.
Kifupi ukiwa na gari moja kwa moja unakua umejitenga na jamii na ukisha jitenga hata mademu utakua mbali nao labda uanze kuwazungukia wale wanao kufahamu way back ila kupata wapya utakua kwenye wakati mgumu Sana cos kwa uzoefu wangu mademu wengi wanapatikana asubuhi wanavyo enda makazini na kurudi majumbani na wengi wanatumia usafili wa Uma...Sasa wewe utawaokota wepi hapa zaidi ya kuwinda mabekitatu na wadangaji![]()
so ukiwa na gari kula Mbususu zinazo jitambua sahau mzee.![]()
Ndiyo kwa nyakati hiziGari ni muhimu kuliko kujenga?
Hiyo terrios kid inatembea km/lt kwa safari fupi fupi?Sisi wenye terrios kids hatuna hizo stress mnazozipata nyinyi wenye ma landcruiser, parking hua hatupati shida kabisa ukiona kaupenyo kidogo unaichomeka tu, ukija kwenye mafuta ndio kabisaaa hatuna tofauti na wanaomiliki bodaboda, kakizingua njiani hata ukiwa peke yako una uwezo wa kukisukuma mwenyewe au kukatia kwenye mkokoteni ukaenda nacho nyumbani.
Spear zipo za kutosha na sio ghali kiviiiile haziumizi kichwa.
Labda hapo kwenye mademu wale wa kuokota hovyohovyo kwenye madaladala ndio inaweza kua ni changamoto.