Mkuu mm sina gari lakini naaminika na kueleweka sana tofaauti na unavyofikiria.Gari bhana.
Wanaomiliki magari wanaaminika sana kwamba wana hela, hawana dhiki.
Mtu mwenye gari anaeleweka haraka sana na anaaminika mno kuliko wewe unayetembelea ngondi ama Toyo.
Gari ni kama shetani fulani.
Gari huficha umaskini kwa kiasi kikubwa sana.
Mk
Mkuu mm sina gari lakini naaminika na kueleweka sana tofaauti na unavyofikiria.
shukuru ht kwa kidgWhat do you mean?
hahaha umenikumbusha mbali iko siku tulitoka club na gari ya mshkaji saa nane usiku mafuta yakakata...mfukoni hatuna kitu ilibidi tugeuke walinzi mpaka asubuhiUkipakiwa kwenye gari, halafu ukacheki nyuma na ukaona kuna kidumu cha mafuta kipo standby. Nakushauri ushuke, bora uchukue bodaboda au uber.
Au lasivyo kuna kusaidia kuisukuma muda wowote, [emoji18]
mmh haya bana, assuming unanijua.shukuru ht kwa kidg
yani ata ukiwa dereva wa lile gari la kubeba watu waliokufa. bado utaheshimika tuu.
Hahaha si mchezoUkipakiwa kwenye gari, halafu ukacheki nyuma na ukaona kuna kidumu cha mafuta kipo standby. Nakushauri ushuke, bora uchukue bodaboda au uber.
Au lasivyo kuna kusaidia kuisukuma muda wowote, [emoji18]
😎😎 si nimekushangaa!
Wacha uhuni bwana mdg
nna jirani yangu gar inatembea tar 28 hari tar 1 au 2 inapaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na tunaishi nnje ya mji huku alafu yeye kila siku lazima aende town namuoneaje huruma!! natamani kumshaur aiuze annue ki paso maana anateseka aisee usafiri wa huku ful kuunga kuunga.Gari ya anasa ndio chanzo cha umaskini, kabla hujanunua gari ni lazma utengeneze chanzo cha mapato ya kuliendesha, maana litahitaji elfu 10-30 kwa siku kulingana na condition yake na ukubwa wa engine.Ukiwa na chanzo kimoja cha kipato ndio utegemee kuendeshea gari hakyanani hutakaa uinjoy, ipo siku utalipaki tu unless otherwise uwe kibopa.
Nakumbuka kipindi napush range rover P38 ile gari ilikuwa 4.6 HSE inakamua 30k kwa misele ya daily tu. Kwenda BMTL/JHPIEGO na kurudi kitaani ila nissan bluebird 1.5 ltr engine ikawa inakaribia kufunga week on the same fuel amount ya 30k.
Ila lazma uwe na chanzo cha mapato nje ya mshahara ili kuinjoy ndinga.
ofisi za serikali unakaa kimachalemachaleHaaahaaa....kwanini unafanya hivo?