Kumiliki gari kunaficha umasikini

Wacha dharau ww hata ss wenye toyo tunaheshimika mtaani shubaakengemiti ww
 
duuuh!! pole sana.
 
Nilipo nunua cc zangu 1500 vvti nilikuwa nasema ntakuwa naenda na gari town job mara mbili 2 kwa week mana nakaa mbali sana kudadeki achana na gari bhana niko radhi nisiweke vocha,nibebe kiporo kwa ajili ya chai na mchana mradi tuu nisikose kuingia town na gari
 


ila pumabf sana magari jaman!yanamaliza wese sio kitoto!mm nilipiga hesabu sehem nayofanya kazi its like 12 kms,,na kurudi 24!yaan kwa sik inatumika 10000/ya mafuta!while ukpanda daladala natumia 2000 nauli to n fro
 
Vile vile gari ni chanzo cha umaskini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…