Starwars91
Member
- Jul 12, 2020
- 52
- 47
Nina mdogo wangu kamaliza 4 anasoma form 5 mchepuo Wa (EGM) shule moja kanda ya ziwa. Alimaliza Ngarenaro sekondari na alipata division 2 ya pointi 20. Sasa mazingira ya alipo hayaridhishi. Imekuwa shida kweli kweli.
Naomba kwa tulioko Jamii forums, kama kuna mkuu Wa shule yoyote ilioko Moshi au Arusha au hata Karatu, na ina A level na ina huo mchepuo anisaidie kunicheki inbox.
Sio mkuu tu Wa shule, hata kama kuna mwalimu ambaye anaweza kunisaidia na anapatikana kwenye shule za aina hio naomba anicheki. Nina mpango kumhamisha kwa hio naangalia angalia shule. Ni kijana Wa kiume na anahitaji shule ya bweni. Naomba mnisaidie wakuu.