nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,408
- 8,223
ulipomuuliza kuhusu hio conversation na huyo x wake anasemaje?Habari jamani humu ndani..hivi mtu unakuwa na ugomvi kila siku na mkeo huku sababu za ugomvi hata hazieleweki,visilani tu kila kukicha...hakuna jema utalomfanyia akaridhika yeye kila jambo umfanyialo kwake baya...mwisho wa ck unazifuma text anazochati na mwanaume mwingine wa nje ambaye alikuwa mtu wake wa zamani ambaye kwa mujibu wa text hizo zinaonesha mahusiano wameyarudisha tena...sasa wadau hivi huyu mtu/mke kuna ya kuendelea tena na ndoa hapo??....ushauri tafadhali.