Kumfuma mke akichat na mwanaume mwingine

Kumfuma mke akichat na mwanaume mwingine

Habari jamani humu ndani..hivi mtu unakuwa na ugomvi kila siku na mkeo huku sababu za ugomvi hata hazieleweki,visilani tu kila kukicha...hakuna jema utalomfanyia akaridhika yeye kila jambo umfanyialo kwake baya...mwisho wa ck unazifuma text anazochati na mwanaume mwingine wa nje ambaye alikuwa mtu wake wa zamani ambaye kwa mujibu wa text hizo zinaonesha mahusiano wameyarudisha tena...sasa wadau hivi huyu mtu/mke kuna ya kuendelea tena na ndoa hapo??....ushauri tafadhali.
Kama ulifanya mapinduzi tarajia kupinduliwa
 
Ndoa sio rahisi kama inavyosemekana,inahitaji uvumilivu subra na hekima,sisemi rahisi haya nnayo kwambia lakini jaribu,
kaanae chini umulize nini anakosa kwako sio kwaukali,rudi tena ujiulize na wewe mwenyewe jee unampa haki yake anayo
stahiki akiwa kama mwanamke? mwanamke na hitaji malezi upendo mfanye ajisikie mwanamke,mpe nafasi nyengine yakujirekebisha...
 
Hayo mambo yapo kwenye miji mingi sana. Kumbuka Ile 49 percent ya utafiti wa watoto wa nje ya ndoa. Ni kerekebishana na kuvumiliana ndio mtafika.
Kijana fikiria kuhusu hyo 49% kwanza
Adi m2 aende kupima DNA ni kuwa kuhisi mtoto c wake
 
Linda heshima yako.. Achana nae atakuja kukufanya ugombane na watu badala ya kusaka dowz uendeshe maisha yako. Wakati huu sio wa kusumbuana akili ukiona mwenzio haelekei tupa kule move on... WApo wanawake wengi wana heshima na adabu ambao hawajapata bahati ya kupata wenzi.. USIOGOPE KUFANYA MAAMUZI MAGUMU
 
ulipomuuliza kuhusu hio conversation na huyo x wake anasemaje?
No kwa sasa ckumuuliza ila nimeshot hizo chats kama ushahid but before nilishawahi muuliza akaniambia ni mtu ambaye alikuwaga anamtaka ila yeye hakukubali ndo huwa anamsumbua....baada ya kuandika kisa hiki nikaona text zingine kutoka kwa mama yake zimionesha akisema hapendwi mtu inapendwa pochi....na mama yake ni single mother nae ni mtu wa totoz kwa sana na ndo mshauri wake wa mambo yao
 
Una uhakika kama ni kweli wanauhusiano? Pia je ni mvalisha petebau la. Kama umejiridhisha mrudishe kwanza kwao tupime kina cha maji. Kikiwa kirefu mpe talaka aende zake kwa wenye dhakari kubwa ma ndefu na wanaojua kuvaa pete.
Yah ni kweli na huyu mwanamke alishakuwa na mahusiano na wengi tu ila walishaoa ....kuhusu hilo la pete cna hakika
 
Me nasemaga maisha kusaidiana... Kuna kitu kimepungua kwako so ex wake anacover
 
Ndoa ngumu sana siku hizi...watu wanachukulia mambo kirahisi rahisi tu... kama bado anampenda ex wake kwa nini alikubali kuolewa... inaudhi sana na kutia hasira... mwanamke akitulia mwanaume kicheche... mwanaume akitulia mwanamke kicheche...
Dah yani ndo hapo mtu unapojiuliza mkuu.....ila nimegundua alikuwa anajaribu na anaangalia kwenye pesa coz mi kwa muonekano naonekana na hela kumbe muonekano tu
 
Kiukweli hili suala halihitaji ushauri kwa upande mmoja ila unahitaji kumpata mtu mwenye hekima apate story pande zote mbili na kukushaurini nini cha kufanya. Inawezekana na yeye kuna kitu kinamuuzi lakini yeye kakiweka moyoni, lakini wewe umeshindwa kuvumilia na kuomba ushauri hapa mtandaoni.
Yaaani wewe umenigusa kuliko maelezo. Na hili ndio tatizo kubwa, washauri kusikiliza upande mmoja na kutoa ushauri ili hali hawajui ya upande wa pili. Hapo ndio ukute mawifi na mama mkwe kama mie, anaapia na kuapia kuwa ukiendelea nae huyo nakulaani! There is no excuse to cheating lakini mara chache sana mtu ataamka tu na kumkumbuka x-wake
 
nadhani hapa shida ni kutokuridhika kwa hawa wake zetu wanatamani wapate vitu vyote kwa wakati mmjo hawajui kuvumilia mkuu mpe muda akapumzike kwao ili atafakari kile anachokifanya akijua kuna kosa akuombe msamaha kwa maandishi na kuwashirikisha ndugu lakini akijua hajafanya kosa basi abaki kwao aendelee na maisha yake
Tupo mkoani na ni public servants at the same office
 
Mkuu piga chini huyo. Hata nipo kwenye situation hiyo hiyo ingawa mm nilifanya kosa kubwa mwanzon. Nilimfuma mara mbili na msg za mapenzi nikamsamehe kilichofuata alishika mimba katika mazingira ya kutatanisha na hata mtoto alipozaliwa alikuwa na dalili zote kuwa sio wangu. Nilijuta kumsamehe mara ya kwanza. Imebidi kumpiga chini akiwa na mtoto. Inauma sana mkuu. Ukimsamehe utakuja kujuta. Utakuja kutamani usingezaliwa.

Kazi kwako Mkuu. Kusuka au kunyoa. Usije jua tu baadae
Nadhani hilo ndo sulhisho ingawa nataka kwanza nimuache friendly tukiwa katika normal situation coz tulikuwa hatuongei till now tunaongea ndo sasa nataka twende hom tukamalizane...kingine mambo ya imani..mi naswali ye anaamini uswahili sana na ndo linanifanya nisifikirie kuendelea nae hata kidogo but tuachane bila chuki
 
Subira yavuta heri tafuta nini chanzo kisha rekebisha hawa wanafanana kila kitu unaweza ondoa afadhali ukapata bora liende
 
Back
Top Bottom