Kumetokea Tetemeko la ardhi Kilimanjaro

Kumetokea Tetemeko la ardhi Kilimanjaro

Wakisema tetemeko limetokea km kadhaa kutoka sehemu flani wanamaanisha nini ?
 
M 4.8 - 41km NNW of Wundanyi, Kenya

  • 2019-03-24 16:21:15 (UTC)
  • 3.070°S 38.188°E
  • 9.5 km depth

  • 38
    39

    star.png
Wanaposema km. Kadhaa toka sehemu flani wanamaanisha nini ?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
41 kilometres north northwest of Wundanyi (jina la sehemu husika) kutoka hapo Wundanyi ukienda kilometres 41 north northwest ndiyo kitovu cha tetemeko.

Wanaposema km. Kadhaa toka sehemu flani wanamaanisha nini ?
 
Kwamba kutakua afrika kusini na kaskazini au ni sijaelewa

Sent using boeing 737 max8
Kipande cha mashariki mwa Africa kuanzia Djibout hadi Msumbiji kitajitenga na kuwa kisiwa.Ila usihofu,hautakuwepo wewe wala mjukuu wako.Ni miaka mingi ijayo.Process ni very slow
 
Huo bado bado

Sent using boeing 737 max8
 
Back
Top Bottom