Kumetokea Tetemeko la ardhi Kilimanjaro

Kumetokea Tetemeko la ardhi Kilimanjaro

Labda niwakumbushe tu, kilimanjaro ni eneo hatari sana kwa tetemeko, ikitokea likagusa misingi ya mlima kilimanjaro dunia itapenda kupumua na hapo ndo itakapotokea mlipuko wa volcano. Kumbuka kilimanjaro ni potential kulipuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kila dalili ya Volcano iliyolala Kilimanjaro kulipuka wakati wowote kuanzia sasa [emoji6]

1)Joto limepanda sana huko Moshi
2)Tetemeko limeshatokea.....Next
3)Volcanic Eruption

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom