Hayo yote ni kazi bure, Umeme, maji, barabara vyote hivo tunasapoti mwajiri bila shuruti vp kuna jipya au la ajabu.Wote.Serikali haiwezi kukupa ajira halafu uwe kinyume nayo,ni wajibu wako kum-support mwajiri wako.
Chema chajiuza kibaya chajikutisha mtaaniTTCL NA ATCL are dead, but still walking and not working
Hawa wafanyikazi mufilisi kabisa,kwanza kama wangekuwa wanajitambua kusingekuwa na haja hata ya kulazimishwa.Hii inaonyesha wazi kwamba in one way or the other they are aganst the government.Uko kinyume na serikali halafu bila aibu unaomba nyongeza ya mshahara!Aibu sana.
Hawa wafanyikazi mufilisi kabisa,kwanza kama wangekuwa wanajitambua kusingekuwa na haja hata ya kulazimishwa.Hii inaonyesha wazi kwamba in one way or the other they are aganst the government.Uko kinyume na serikali halafu bila aibu unaomba nyongeza ya mshahara!Aibu sana.
Yaani hawana database yakujua watu wenye laini au la.Mimi ninachojua makampuni yana database ya majina au wenye namba za simu na usipotumia kwa muda wa mwaka mmoja wanampa mtu mwingine sasa TTCL wanataka majina ya nini sasa ai
Safi sana Siasa ya ujamaa na kujitegemea!
Ni hatari sana.
Kuweka mikakati ya kufufua kampuni moja linalopewa mtaji na serikali na kuua makampuni zaidi ya matano yenye mitaji yao ni jambo la ajabu kabisa.
Watanzania hawajawahi kulalamika kuwa wanakosa mtandao wa kujiunga nao.
Kwa nini tunatumia kodi za wananchi kuhangaika na huduma ambazo zipo za kumwaga na kulazimisha kuziua badala ya kuziimarisha ili tupate kodi.
Watanzania tunaibiwa na kidhulumiwa sana na mifumo ya watawala mana Mfanyakazi anakatwa kodi.
Kodi hiyo inaenda kuanzisha kampuni kama TTCL halafu mfanyakazi huyo huyo aliyelipa kodi anakatwa tena kodi kwenye vocha anayonunua kwenye kampuni aliyoipa mtaji.
Ni unyonyaji mkubwa sana wa serikali kwa wananchi wanyonge wenye vipato vidogo kwa lengo la kuwaneemesha miungu watu wanaotawala.
Bila tulitegemea nchi iwe na makampuni makubwa yasiyopungua 50,000. Makampuni makubwa ndiyo yanayoweza kubusti Uchumi wa nchi mana nchi ina maskini wengi sana ambao hawana uwezo wa kutumia pesa kwenye mahitaji ya ziada ili wakuze soko. Na nje ya nchi hatuweze kabisa kushindana kama mbinu yenyewe ni hiyo ya vitisho na kuuana kwa kutishiwa njaa ili watu wajiunge.
Hatari sana.
Tumekosea sana na tutakosea zaidi kuipa CCM nguvu kubwa ya wabunge ambao hawana tija kwa taifa zaidi ya maslahi yao.
Tumia TTCL PESA kuongeza salio!Ok TTCL hapo wana changamoto ya kuhakikisha vocha zao zinapatikana Hadi kwa shemeji yangu nyasa vijijini waliko mabwana shamba na mabibi shamba na watendaji wa vijiji na kata na walimu wa shule za msingi za porini waajiriwa wa serikali.Vocha za TTCL Ni changamoto.
Hilo tumeongelea Sana naona hujasoma thread zote kabla ya kuparamia kujibu.ungesoma thread yote kabla kujitia mjuaji kujibu desk officer Koko weweTumia TTCL PESA kuongeza salio!
Kila ofisi ya Wilaya ya TTCL kuna Wakala, TTCL Pesa ni wapya coverage yao siyo kubwa, nakukumbusha "mbuyu ulianza kama mchicha".Mawakala wa TPesa vijijini na wilayani mikoani unajua waliko au wewe uko dar es salaam na siyo dar nje ya jiji? Nje ya Jiji la dar ulishawahi waona hao mawakala wa TPesa sura zao wanafananaje? Unakaa ofisini ulishatoka nje ya Jiji ukaona hao TPesa wakala?
Kwa nini Mfanyakazi wa TiGo kuwa na line ya tiGo, Vodacom kuwa na laini ya Vodacom, AirTel kuwa na line ya Airtele , Zantel kuwa na line ya Zantel (mwajiri) , nk siyo issue, ila Mfanya kazi wa Serikali kuwa na line ya mwajiri (Shirika la Mawasiliano la Taifa (TTCL) inaonekana ni issue?! Naomba kujua.Watanzania wenye simu za mkononi wanafikia 43,621,000 na kati ya hao TTCL ina subscribers 711,411 (1.6%). Serikali ina jumla ya wfanyakazi 800,000. Hata kama wote hawa waki-subscribe kwa TTCL watafikia 1,511,411 (3.4%). TTCL isitegemee itatoboa kwa kubebwa bebwa. Badala yake iandae marketing strategy itakayowawezesha kuongeza market share ili angalau ifikie 20% ndani ya miaka 3 ijayo.
Thread ya Kipuuzi zaidi kwa Mwaka huu.. Ulitegemea huyo meneja wa mkoa akaidi agizo la Rais?
Aisee, leo mbona uko chini hivi?Hawa wafanyikazi mufilisi kabisa,kwanza kama wangekuwa wanajitambua kusingekuwa na haja hata ya kulazimishwa.Hii inaonyesha wazi kwamba in one way or the other they are aganst the government.Uko kinyume na serikali halafu bila aibu unaomba nyongeza ya mshahara!Aibu sana.
No,swala swala sio kwamba it's not peanuts,swala ni kwamba uzalendo hakuna.Not peanuts my dear ,ingekuwa hivyo kila mtu angekubali kulipa tu
Ok TTCL hapo wana changamoto ya kuhakikisha vocha zao zinapatikana Hadi kwa shemeji yangu nyasa vijijini waliko mabwana shamba na mabibi shamba na watendaji wa vijiji na kata na walimu wa shule za msingi za porini waajiriwa wa serikali.Vocha za TTCL Ni changamoto.
Kwa sababu TTCL siyo mwajiri wa watumishi wa serikali!Kwa nini Mfanyakazi wa TiGo kuwa na line ya tiGo, Vodacom kuwa na laini ya Vodacom, AirTel kuwa na line ya Airtele , Zantel kuwa na line ya Zantel (mwajiri) , nk siyo issue, ila Mfanya kazi wa Serikali kuwa na line ya mwajiri (Shirika la Mawasiliano la Taifa (TTCL) inaonekana ni issue?! Naomba kujua.