Kwa utawala huu si Ajabu.Siogopi kitu, huwezi jua huko mbeleni, Network nyingine zikawa mwisho kuwa hewani saa kumi na mbili jioni na TTCL zikawa zinaruhusiwa kuwa hewani 24/7......nimewaza tu....
No to that extreme. Secta binafsi wakifunga kazi hata wao watayumba vibaya sanaSi ndiko tunakoendea? au Sijamwelea mtoa Mada?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siogopi kitu, huwezi jua huko mbeleni, Network nyingine zikawa mwisho kuwa hewani saa kumi na mbili jioni na TTCL zikawa zinaruhusiwa kuwa hewani 24/7......nimewaza tu....
Maumivu ya kichwa huanza taratibu....ushahidi huo hapoView attachment 1111675View attachment 1111676
Ole wako, tuifuatilie tukute haitumiki Mara kwa mara .tutazuia kamshahara Kako, teheteheee teheteheeNitasajili, nakuitunza kwenye mkebe.
Kweli mkuu hawashindwii kituSiogopi kitu, huwezi jua huko mbeleni, Network nyingine zikawa mwisho kuwa hewani saa kumi na mbili jioni na TTCL zikawa zinaruhusiwa kuwa hewani 24/7......nimewaza tu....
Unamuogopa nani?
Sheria ya ajira na mahusiano kazini wapi imetaja lazima uwe na line ya TTCL?
Barua yako ya ajira inahicho kipengele?
Hahah! Dah.Ukitaka ufurahie maisha hapa, Wewe fanya kama unaishi ugenini. Vinginevyo hawa jamaa watakuua kwa hasira na stress.
Huwezi kuwa mkatoliki kuliko papa! Magu ana line ya Voda!.ni lazima tuwe wazalendo kwa kuthamini vya nyumbani
Ndoto zengine uwa kweli.. Watumishi wa mbali na maeneo tumenusulika..Siogopi kitu, huwezi jua huko mbeleni, Network nyingine zikawa mwisho kuwa hewani saa kumi na mbili jioni na TTCL zikawa zinaruhusiwa kuwa hewani 24/7......nimewaza tu....
Ndoto zengine uwa kweli.. Watumishi wa mbali na maeneo tumenusulika..