Kumekucha Tanzania: Barrick na Serikali ya Tanzania waunda Kampuni ya Madini

Kuna haja ya serikali kuwa na hisa kwa kila biashara iwe ya mzawa au wageni zile viwanda 4000 mifugo 27m mashamba ya wakulima wadogo na wakubwa, biashara ya italiI au unaona paskali
Gidbang, mkuu mbona serikali inahisa maana corporate tax rate ni 30% maana yake kila anayepata faida anatakiwa aipe serikali 30% ya hiyo faida
 
Kwa kweli nikili kabisa, nimekuwa mzito kuelewa maana halisi ya hizi asilimia kwenye madini. Wageni wanachukua 84% wenye Mali tunabaki na 16%, halafu tunashangilia!

Au hata tuseme ingekuwa wageni 55% wenye mali 45% bado sijui kwanini tushangilie!

Halafu napata shida zaidi napoona watu"wakubwa" kama Paschal Mayalla anaunga mkono hoja.

Watu kama nyie hamuungi mkono hoja hivi hivi, lazima mnaunga mkono hoja zenye mashiko. Hivyo naamini kabisa hoja hii ina mahiko.

Hivyo basi, naomba kama hutojali unisaidie kuelewa kwanini tushangilie wageni kuchukua 84% na sisi wenye mali kubaki na 16%?
Hiyo 16% ni umiliki wa kampuni mpya. Unajua thamani ya hizo hisa ni sh ngapi?!
 
Kwa kweli nikili kabisa, nimekuwa mzito kuelewa maana halisi ya hizi asilimia kwenye madini. Wageni wanachukua 84% wenye Mali tunabaki na 16%, halafu tunashangilia!

Au hata tuseme ingekuwa wageni 55% wenye mali 45% bado sijui kwanini tushangilie!

Halafu napata shida zaidi napoona watu"wakubwa" kama Paschal Mayalla anaunga mkono hoja.

Watu kama nyie hamuungi mkono hoja hivi hivi, lazima mnaunga mkono hoja zenye mashiko. Hivyo naamini kabisa hoja hii ina mahiko.

Hivyo basi, naomba kama hutojali unisaidie kuelewa kwanini tushangilie wageni kuchukua 84% na sisi wenye mali kubaki na 16%?
Kingjr2- kuchua maana yake nini?
 
Gagnija, hizi tunazipata bila kuwekeza chichote kwa mujibu wa sheria ya madini ya 2010
Hiyo ndiyo point yangu kwa huyo anayedai hata tungepata 45% hakuna cha kushangilia. Yaani mtu awekeze mabilioni ya pesa zake halafu wewe akupe 45% ya uwekezaji wake bila kuchangia hata senti 1, atakuwa kichaa?!
 
Gidbang, mkuu mbona serikali inahisa maana corporate tax rate ni 30% maana yake kila anayepata faida anatakiwa aipe serikali 30% ya hiyo faida
Kwani kwenye madino hawpati i hizo Faida why wameamua kuinia joint
 
Tunajua je bana inawezekana ndo yale ya makampuninya kijani mere meta nakadhalika
 
Pascal Mayalla

Huu ni mwanzo mzuri kwa Tanzania.

Shime Watanzania watakaokuwa ni wawakilishi wa Tanzania ndani ya Kampuni hii mpya ya ubia wafanye kazi kwa Uzalendo, Ubunifu na Hofu ya Mungu kwa maslahi ya Nchi yetu

Hili ndilo wazo langu kubwa
Lakini kama ni asilimia kubwa kwao na sisi ni wabia wao basi naona mitambo ya kukagua itakayowekwa si ya mchezo

Naunga mkono hoja Mkuu kama watafanya kazi kwa kulinyanyua Taifa na sio matumbo yao well and good
 
Bange mbichi. Umiliki wa 84% per 16%? Halafu mtaanza mapambio yenu ya kipumbavu. Hatudanganyiki. Nyambafuuuuu

Wengine tunaona ni hatua njema. Si haba. Tena baada ya kupindua Meza yenye msosi kwa ubabe. Sio kazi rahisi
 
Ukisikia "mwano" katikati ya usiku mzito ujue kuna jambo kubwa na nyeti. Sharti uamuke pamoja na Wanazengo

Katika kile kinachotajwa na wafuatiliaji wa sekta ya madini Nchini Tanzania kuwa na mwendelezo chanya za Serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Dr. John Pombe Magufuli kunufanika ipasavyo na sekta ya Madini, hatimaye kampuni ya Madini ya Barrick Gold ya Canada na Serikali ya Tanzania wameanzisha kampuni mpya ya Madini itakayokuwa ya ubia yaani joint venture company.

Kampuni hiyo mpya [TWIGA MINERALS CORPORATION LTD] tayari imesajiliwa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inachukua uendeshaji na mali zote za iliyokuwa kampuni ya Madini ya ACACIA.

Kampuni hiyo ya Madini ya Twiga ambayo makao yake makuu yatakuwa mkoani Mwanza, itaendesha migodi ya dhahabu ya Buzwagi, Bulyanhulu na North Mara.

Kwa mujibu ya makubaliano ya awali kati ya Barrick na Serikali ya Tanzania, umiliki wa kampuni hiyo ulitarajiwa kuwa 84% kwa Barrick na 16% kwa Tanzania. Hatahivyo, makubaliano ya mwisho ya umiliki na namna ya uendeshaji wa Kampuni ya Twiga na migodi yake mitatu bado haijawekwa wazi na Mamlaka za Serikali au Barrick wenyewe.

Juhudi hizi za Serikali ya Dr. Magufuli katika kufikia makubaliano haya yanafungua ukurasa mpya wenye matumaini kwa manufaa ya Nchi ya Tanzania kunufaika na rasilimali za madini mbalimbali.

Pia, yanaongeza chachu kwa Serikali kuendelea kujadiliana na Makampuni mengine ya Madini ikiwemo TanzaniteOne Mining Ltd (TML) ili Serikali ya Tanzania inufainike zaidi na Madini kwa ustawi wa Taifa na vizazi vyetu na vinavyokuja.

Katika hatua nyingine, wachambuzi na wafuatiliaji wa Sekta ya Madini katika Bara la Afrika wameipongeza Serikali ya Tanzania chini ya Rais wake Dr. Magufuli kwa kusimama imara dhidi ya mikataba ya madini isiyonufaisha bara la Afrika na hivyo kuhakikisha Afrika inapiga hatua chanya kuelekea maendeleo ya watu wake.
84 kwa 16 this is a joke.
 
Kwahiyo unashangilia hiyo 16%?
Amakweli vilaza hawatapungua tanzania

Back
Top Bottom