Kumekucha Stanbic Bank

Kumekucha Stanbic Bank

Jenerali Ambamba

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
3,344
Reaction score
2,537
10405591_863553523697493_1048036785145755847_n.jpg
 
Mmmhhh tutayaskia mengi yanakuj.uozo kila pahala cjui nchi inakwend wap
 
Naamin maneno ya Mwasisi wetu Baba wa Taifa aliyemwona Jakaya Mrisho Kikwete hauwezi Urais wa Tanzania.. Unabii wa Nyerere umetimia.. Sasa nchi inajiendea tu kama haina mwenyewe.

Na akimaliza muda wake achunguzwe kwa kina yeye pamoja na familia yake.. Ridhiwani anaukwasi wa mali zisizo na maelezo alikozitoa!! Hawa jamaa jera inaangoja!!!!
 
Duhh!!
Kwa hiyo AC ni magumashi,, maana kama hakukuwa na documentation waliwezaje kufungua?
 
I am shocked! Kama hiyo taarifa ndivyo ilivyo basi Stanbic hawawezi kukwepa kulipa hasara iliyoingia kwa taifa. Number moja, bila kupepesa macho wamevunja sheria ya BOT ya KYC (Know Your Customer). Hiki ndicho kitu cha kwanza kabisa benki inatakiwa kufanya pindi prospective customer anapootaka kufungua akaunti. Ingawaje pesa ikishaingia benki ni rahisi sana kufanya tracing lakini ukishakiuka KYC procedures basi unaweza ukaita makachero wote unaowafahamu na wakashindwa kufanya tracing... WHY, coz' hapo kuna hatari ya kuwa na ghost customer ambae utamtafuta dunia mzima hutamuona!!!!

Hata kama tunge-assume kwamba namba moja imetokana na uzembe, namba tatu na nne inathibitisha nia ya Stanbic kufanya uhalifu kwa kushirikiana na Seith. Jana nilizungumza hapa ile tu PAP kufungua akaunti na first inward transaction kuwa ni malipo kutoka Escrow A/c, hiyo tayari moja kwa moja inaonesha akaunti ilifunguliwa kwa sababu maalum ambapo, hata kwa personal account, banker anaefahamu kazi sawa sawa atakuwa more suspicion akigundua kwamba mteja aliyepo mbele yake anataka kufungua akaunti si kwa sababu anataka kuwa account holder/bank customer bali anataka ku-facilitate a particular inward transaction not in form of cash! Na hata kama ni cash, kama ni mzigo mkubwa kweli kweli, hapo lazima lazima u-raise red flag!!!

Kama hayo yaliyoandikwa hapo juu ni sahihi, basi Stanbic lazima warudishe pesa zetu wakati mambo mengine yakiendelea. Mwigulu Nchemba, start with this.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom