kuanza kazi bila interview kwani ni ualimu au udaktari?Kumbe interview nlijua kuanza kazi?
omba Mungu jina lako liwepo.nijiandae nilambe dume
posts zilizotoka zilikuwa nyingi,ishu ni kwamba jina litakuwepo?
Mh.. watu karibu 30,000 waliapply.. tukitoa watu elf 5 wasio na vigezo wanabaki 25 elfu.. kwa njia rahisi, probability ya kila mmoja wenu kuitwa kwenye interview inakuwa
1/25000 ambayo ni sawa na 0.00004..
kila la heri..
Kumbe PCCB nao taarifa zao zinaliki....mi nilizani confidential sana...
nimekosea kutoa taalifa?wacha uongo wewe
Majina angalia/angalieni kwenye mtandao kuanzia na magazeti kuanzia jumatatuMe nilidhani list ya majina kumbe sio