Kumekucha, ni suala la muda tu. Taratibu sote tutaelewana na kuongea lugha moja!

Hata mfanyaje mengine mtafanikiwa ile demokrasia haiwezi kudhibiti waizi hata kidogo.
 
Kuongea ni kazi ya raia, tunategemea wao wachukue hatua na kutoa way forward sasa nawenyewe wanaongeaongea tu kama sisi.
 
Mi huwa naangaaaaliaaaaa weeeeeeeeh!halafu namalizia kwa kusema (the State) Dola iliamua mambo haya yawepo nchini kama yalivyo!!

Dola ndio hutoa anaeshika serikali na ikiamua kumuondoa inaondoa faster tu!!

Haya yote ni matokeo ya Dola kufanya compromise na wezi!!!

Yaani jeshi linalinda mipaka Ili wanasiasa wanaolindwa waibie wananchi kodi!!Na jeshi limetulia tuliii likiona wanasiasa wanawaibia wananchi!!!

Mungu nisaidie na Mimi nipenye Hadi ikulu niwe kiongozi niwafundishe namna ya nchi inavyopaswa kuwa!!
 
Nchi masikini na za watu wajinga huwa wanadhani kilimo ni mateso.
Kilimo Cha jembe la mkononi mkuu wangu ni mateso, tena mateso makubwa. Kwa akili ya msukuma kilimo kilichoko kwenye akili yake ni Cha jembe la mkono. Usidhani anazumgumzia kilimo Cha tractor na kuvuna kwa combine harvester.
 
View attachment 2987538

Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi.

Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza kuitizama na kukiri inasema kweli.

Najua hata mimi si mpenzi wa wana JF wengi lakini nawaombeni mumsikilize kwa makini kama nilivyofanya halafu muamue wenyewe.

Angeongea haya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Tundu Antiphas Lissu wala nisingehangaika kuleta aliyosema humu.
Maigizo
 
Haya tumeyasikia toka miaka Ile chama lenu limeweka pamba masikion

Tumeenda mbali zaidi na kusema Kuna mapungufu kwenye katiba

Hakuna anayetusikiliza

Bunge lenu ni rubbet stamp tu
Mahakama imekuwa kibogoyo
Tiss imekufa kabisa
Polisi wanakimbizana na wanyonge
Takukuri hawana impact yoyote

Ila chama kimeshika hatamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom