Namharibia nini? Wao wanavyoiba diesel inayoyonuliwa kwa kodi zetu, magar hayo wanavyoyapeleka kwa waganga wa kienyeji wakiwa na mabosi wao kazi ambayo haipo kwenye schedulle za mawaziri, ving'amuzi vya mabosi wao wanavyopakia kwenye magari yetu na kuyanajis ni jambo la maana hilo? Na wafukuzwe kama kusema kweli ni kosa! Allaa!
ha ha ha ambiere maghembe nyika na vome!
safi sana nahisi kama pinda kuachia ngazi vile,hivyo kikwete anaweza kuvunja baraza la mawaziri
Namharibia nini? Wao wanavyoiba diesel inayoyonuliwa kwa kodi zetu, magar hayo wanavyoyapeleka kwa waganga wa kienyeji wakiwa na mabosi wao kazi ambayo haipo kwenye schedulle za mawaziri, ving'amuzi vya mabosi wao wanavyopakia kwenye magari yetu na kuyanajis ni jambo la maana hilo? Na wafukuzwe kama kusema kweli ni kosa! Allaa!
Mteneti hizo sasa ni chuki binafsi, kati ya dereva na serika yako ya ccm nani mwizi? mara ngapi wewe umekwenda kwa waganga ila hausemi? Hoja ni kwamba, wewe jina lako umelificha, lakini wenzako unawataja, weka lako hadharani. Jipange
ikitokea Muujiza Baraza la Mawaziri likavunjwa tunaomba pale Wizara ya Michezo pasichanganywe na mambo mengine Mara Habari Mara utamaduni Tunaomba iwepo Wizara ya Michezo tu yaani michezo pekee na hizo Habari na Utamaduni zipelekwe kwingine Kwani Michezo imedorora sana unahitaji Wizara ya Peke yake tu Na ateuliwe Waziri mwenye kasi na mbunifu mwenye uchu wa kucheza kombe la Dunia michezo Kama Riadha Netboli kikapu ndondi ihamasishwe ilete medali michezo ya kimataifa Uganda wao Wizara ya Utamaduni inajitegemea kabsa na inasimamia vizuri mila na Desturi za kiafrika Hakuna Uvaaji wa Hovyo hovyo uvaaji Milegezo na vijinguo vya kubana Kama Tz
Wee Mtengeti!, kwa nini unataka kumfukuzisha kazi bure dereva wa watu?!, umemtaja wa nini?!, unajua fika amepokea simu kutoka mahali anapopajua yeye!, sasa unamtaja mpaka ni dereva wa waziri gani wa nini?!, au unajifanya hujua kazi haswa ya madereva wa wakubwa?!, wewe unawaona kama ni madereva tuu ukijua kazi yao ndio kuendesha tuu hayo magari?!.Wana JF,
Dereva wa mbunge wangu ambaye ni Waziri wa xxxx
mi napenda hyo idara ya utamaduni ipelekwe wizara ya fedha na jina lisomeke 'Wizara ya fedha na utamaduni'
Mwaka mpya na mambo mapya! Mkuu wa nchi kashindwa kuiweka nchi hii kwenye mstari mnyofu.
Masikini mawaziri mizigo,pressure juu!
Lembeli ndie mshika Paka shumeHuyo Lembeli ndio nani!!!!!!!!!!
Lembeli ndie mshika Paka shume
Ni Mwenyekiti wa kamati iliyoibua vioja vya Wizara ya Mali asili na wizara ya mifugo,mambo ya ndani na Ulinzi . Limbeli huwa ni Mkali sana pindi akiamua lakini huwa anachemsha baadhi Mfano hao upo pale Kawe kuna Mzee anaitwa Ngonyani alimpelekea malalamiko yake juu ya kudhulumiwa Haki yake ya kuuza kiwanja kwa Mama mchungaji Rwakatare lakini Limbeli alishindwa kumsaidia kabsa hadi Leo Mzee ngonyani anataabika hajui lini atalipwa Haki yake
Wana JF,
Dereva wa mbunge wangu ambaye ni Waziri wa Maji asubuhi wakati tunapata supu kwa nguluma hapa Mwanga alipokea simu kutoka mahali anapopajua yeye na kusema kuwa ameambiwa apeleke gari TEMESA kama ana mafuta basi mpaka saa kumi leo awe amefikisha gari la serikali Dar.
Wakati huo huo mchana wa saa tano nilikuwa naenda Mjini Ms nikapata Lift ya gari binafsi la Mbunge wangu akienda KIA! Njia nzima alikuwa akimlaani Kinana na Lembeli kuwa ndio chanzo cha yote!
Natumaini yametimia mkuu kawaita ghafla
Huyo mbunge wake kiboko. Alikuwa na gari la waziri same, at the same time alikuwa na gari lake binafsi. Akili za kuambiwa changanya na za mbayuwayu.