Kumekucha jamani.....niseme nisiseme?

Ngoja nikusaidie kusema kuwa Membe amekubaliana na LOwa..saa..kuhamia CHAGA..DEMA kupepwrusha bendera ya urahisi. Hatua hii italeta uhai kwa ukawa kwani Membe atapata support ya familia ya msoga, prof Mwandosya, Lowassa na Mwinyi na Nape..Hata team hapa kazi tu watashida kwa ushindi mwembamba usiozidi 60%

Round ya kwanza alikuwa na 58%
Je ya pili atafika ata hiyo 60%
 
681a07a4479094cc0b6fb55d7b3fb8c0.jpg
 
Ngoja nikusaidie kusema kuwa Membe amekubaliana na LOwa..saa..kuhamia CHAGA..DEMA kupepwrusha bendera ya urahisi. Hatua hii italeta uhai kwa ukawa kwani Membe atapata support ya familia ya msoga, prof Mwandosya, Lowassa na Mwinyi na Nape..Hata team hapa kazi tu watashida kwa ushindi mwembamba usiozidi 60%
Ama kweli adui wa adui yako ni rafiki yako. Yetu macho.....
 
mengine unatakiwa kuyasema tu maana ukibeep unaweza kupigiwa halafu ukashindwa kabisa kusema...
Ngoja tukusaidie walau muhtasari, UGANDA to TANZANIA haraka sana hahahaha kesho jumatatu labda watu watajua..
 
Back
Top Bottom