johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,978
- 141,995
Hakuna mwanachama yeyote wa CCM anaeingia madarakani kwa Rushwa anzia ngazi ya Mwenyekiti wa kitongozi mpaka juu wote wasafi ,hivyo hiyo kauli eti watafungiwa maisha la kwa vyama vya upinzani.CCM Safiiii.Wakati huko ndio kwny waasisi wa rushwa.
Mnyeti alionekana akitoa rushwa kwa madiwani kule Arumeru kelele zilivyopigwa akapandishwa cheo na kua mkuu wa mkoa.
Huko rushwa ndio nyumbani,kumenogaaaaa
dodge
JPM anaungwa mkono kwa 99%!Hiki Ni kichekesho, aseme wale wasiomuunga mkono jpm ndani ya chama
Jana huko Darisalama nimesikia sijui Diwani labda Mwenyekiti anayetokana na CCM kakamatwa kwa Rushua? Au ni CCM ya Malawi?Hakuna mwanachama yeyote wa CCM anaeingia madarakani kwa Rushwa anzia ngazi ya Mwenyekiti wa kitongozi mpaka juu wote wasafi ,hivyo hiyo kauli eti watafungiwa maisha la kwa vyama vya upinzani.CCM Safiiii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kuungwa mkono na kujiungisha mkono.JPM anaungwa mkono kwa 99%!
Cha muhimu ni ushindi!
Yeye ni CCM VIP,haimuhusu
Haahaa.JPM anaungwa mkono kwa 99%!