Kumekucha Arumeru

jamaa alinyolewa rasta na nguo za chama unachokitaja,shauri yako hii ni arusha tofauti kabisa na igunga.
 
Huyu mtoa mada nafkiri hana akili manake mimi natoka Arumeru na huku ukisema ccm unaweza ukauwawa wandugu labda aseme yeye yuko wapi
 
Hahahahaaaaa sio Arumeru ninayoifahamu mimi, tafuta uongo mwingine mkuu
 
ninachokipendea maeneo yale ni kutokuwa tayari kunyanyaswa na nguvu ya dola...wamejaaliwa kwa matumizi ya mawe,ndio silaha yao kuu kwakweli... kampeni zikifunguliwa aloo tutaona mengi kwa polisi wetu hawa
 
Huyu mtoa mada nafkiri hana akili manake mimi natoka Arumeru na huku ukisema ccm unaweza ukauwawa wandugu labda aseme yeye yuko wapi
Nimetoa tahadhari kabla ya hatari, sasa itakula kwenu hii. Jifurahisheni tu nafsi zenu humu kwa matusi ambayo hayanitii shughuli
 
Ngoja tusubiri kipenga kipulizwe tuone mchezo utakwendaje. Peoples' Power Versus "CCM"
 
Usitudanganye Najua umepewa kazi yakugawa kofia na tishet uko CCM, usikurupuke ndugu, dunia ni kama kijiji kila jambo linalotokea tunalijua.
 
Mbona kama umekosea jukwaa? Kwanin usingeipeleka Jokes naona inafit sana kule
 
Kama Nape analipa mpaka wajinga wajinga kama hawa, basi nae inabidi akachunguzwe akili. Sijaonaga thread ya kutunga iliyo ya kijinga kama hii hapa JF! Nina wasi wasi hata na elimu na uelewa wake huyu mleta mada. Amekuja kujidhalilisha tu bure hapa.
 
Mtoto wa marehemu ...anayefanya kazi stannic baada ya kufukuzwa crdb..ndio atakayegombea kwa ticket ya ccm
 

Kijana hujui ulisemalo, Chunguza kwa nini ccm ilishinda Arumeru! Nakuhakikishia hilo Jimbo ni la Chadema na Tumwombe mola uzima.
 
Wiki hii mapolis wanapita usiku kwenye magesti,wanaomba vitambulisho vya kura.Jana walikuja gest niliyofikia hapa Usa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…