thanks buddy, inabidi tuyajadili haya ili tuboreshe quality of lifeMkuu asante kwa hili uliloweka jamvini....
Aisee kuna kitu huwa inanikera sana.....
Pale wanandoa wanapotofautiana hadharani....kwenye mambo ya msingi!
Kuna wengine hufikia hata kutukanana ama kupigana......
sina hakika ila JF is the home of great thinkers na jamaa huwa anajiamini kama mtu wa maanaHahahaha.... hii njemba inaingia humu? Inauma sana aisee.
Hivi dude? Unaweza kumdhibiti mwanadamu? Kabla ya mobile phones kuingia watu walikuwa hawamegeani? This dude of yours is the CRAPIEST...Tupa kule ....... trash !
Thats my boy!This is how we live hommie!!
Pole zake , na wengine waliomo katika jela hiyo! Na yeye simu zake ampe mkewe ashike nusu siku tu !Sio tu udhalilishaji yaani ni ukandamizaji hasa.. I've been there.. Jamani usiombe kupata mtu wa aina hiyo!!!
Thats my boy!
Life is good!......Hope you young guys will follow babu's footsteps....MALARIA HAIKUBALIKI!
Malaria haiukubaliki na wala Treni Haichomekewi hommie....!!Thats my boy!
Life is good!......Hope you young guys will follow babu's footsteps....MALARIA HAIKUBALIKI!
Ewaaaa....Closer....Closer.......Malaria haiukubaliki na wala Treni Haichomekewi hommie....!!
Wajameni... Leo naomba tusaidiane kujadili jinsi tunavyowadhalilisha wapenzi wetu in the name of love and protection
Kuna rafiki yangu ana kaugonjwa kabaya sana ka kumnyang'anya mkewe simu na kukaa nazo hata siku mbili kusubiria nani atampigia mkewe... i tried to ask him kuacha tabia hiyo kwani inamweka mwanamke kwenye hisia za kudhalilishwa na kutoaminiwa na pia mke anaweza sasa akaanza kufanya siyodhani simply because jamaa ndicho alichonacho kichwani!!
Sipendi hii tabia na nina imani wengi hamuipendi
please pals, lets not do this aisee
duh... hiyo sasa itakua ni unyama kabisaSimply huyo mwanamume ni kilaza (kiazi). Hivi inahitaji simu kufanya infii??? Kwani kabla ya simu watu walikuwa wanafanyaje?
Ina maana huyo mama haendi kazini, sokoni saloon etc? Duuuh...jamaa amefikia level ya juuu sana ya kutojiamini, basi ategeneze cage amweke mkewe na kutembea naye kama njiwa pori!!
Aisee........
Huyo jamaa ana matatizo,tena makubwa sana...Anasumbuliwa na tatizo la Upungufu wa Uaminifu katika Mapenzi......Wivu wa kijinga..
Hii ni mbaya sana,inaweza ikapelekea/ikamchochea mkewe kufanya kweli......
Kwangu mimi simu yangu ni yangu na ya mama Kabula(mrs) ni ya kwake,hakuna kitu kizuri kama privacy kwenye simu(na si mambo mengine ya kindoa).......Kama mke si mwaminifu si mwaminifu tu,kuna mbinu nyingi kweli za kucheat,so kumnyang'anya simu haisaidii zaidi ya kumchochea afanye vitendo hivyo.....Huyo jamaa aache mambo yake hayo,asitke kutudhalilisha walume bure.....
Mke mkeo tu.........Haibwi.
Bala.