
Huyo ndege wa katikati aliyezungushiwa ana miguu minne, hayupo tena ulimwenguni wala jamii yakeRemains of the original blue color in the Pyramid of Unas ♡View attachment 2273995
Yaap kabisa. Kama hapo juu wanasema kuna Mfalme alitawala miaka elfu 28 na halafu ni Immortal yaani hafiNahisigi mengine huwa wanatunga ili wapige hela za kitalii tu! Dunia kwa jicho lengine imekaa kitapelitapeli sana..![]()

Itapendeza kama tutapata tafsiri ya hayo maandishi toka kwa Egyptologist mmoja.Remains of the original blue color in the Pyramid of Unas ♡View attachment 2273995