rest in peace mke wa arovera.
.
Apumzike kwa aman
alale kwa amani nimejisikia hadi kuumia
Habari wana MMU.
Ni machache tu na naomba sala zenu zaidi kwa mke wangu kipenzi aliepoteza maisha miaka mitano iliyopita siku kama ya leo, nilimpenda sana na yeye alinipenda lakini alitangulia mbele za haki.
Nawashukuru wana jamiiforum na rafiki zangu walionisindikiza kusafisha kaburi na kisha kwenda kuwatembelea watoto yatima ktk vituo viwili, sina cha kuwalipa mungu atawalipa asanteni.
apumzike kwa amani mke wako pole sana
hakika apumzike kwa amani nitamuenzi milele na sitomsahau.
pole mwaya kwa kuondokewa na kipenzi chako Mungu ndiye anayeweza kutufariji siisi pokea faraja toka kwake na uwe na furaha, upendona uwe mwenye kumcha na kumtumikia Mungu kwani hatujui siku wala saa ambayo Mungu huchukua uhai wetu
hakika apumzike kwa amani nitamuenzi milele na sitomsahau.
pole mwaya naona ni jinsi gani ulivyompenda aisee pole mwaya Mungu atakuvuta machozi yako usipozimia roho yako mtumikie yeye Mungu naye atakuwa baba kwako
umenifanya nitokwe na machozi nami nikimkumbuka shangazi yangu niliyempenda kwa dhati
kuondokokewa kunaumiza lakini Mungu anatufariji
Pole sana sana,
Mungu azidi kukutia nguvu.
Pumzika kwa amani dada.