mwanaapolo
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 256
- 79
MJ! Kama binadamu tungekua tunaishi milele, I wish MJ to be the last man to fall! I will join you in Heaven MJ!
Niliwahi sikia kama alikuja Kijitonyama/Sinza shule ya waliopungukiwa na akili
Hizo habari za freemason uzushi tu, ni documentary zilizoandaliwa na mtu kama wewe, na ukichunguza sana utaona chuki binafsi.kumuita mtu freemason aliyekuwa ana kipaji cha ajbau cha muziki kilichomfanya aziteke chati za muziki duniani akiwa na miaka 11 ni ufinyu wa akili, by the way hata ukiambiwa uthibitishe ufreemason wake lazma ushindwe, the devil is a lie,,,wabongo tufanye kazi