Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

Falsafa ipi uliyoitoa zaidi ya kutoa maelezo ya jumla jumla yaliyoashiria yote aliyosema Pohamba ni uongo?! Au ukumbushwe ulichoandika?! Hivi ndivyo ulianza maelezo yako:Uliyekuwa unambishia alianza hivi:Je, uongo hapo uko wapi?! Au kwa uelewa wako "...mtoto wa nje ya ndoa" na "mtoto ambae mama yake hakuwa mke wa ndoa ni vitu tofauti?! Anyway, kisha anaendelea:
Kwa kipande hicho anakuwa tayari ameshajibu hoja zote za msingi kuhusu utata wa Nape kama ambavyo uliwasilishwa na mleta mada! Hoja hizo ni; (i) Nape ni mtoto wa nani, (ii) dini yake ni ipi na (iii) dini ya Mzee Nnauye ni ipi?!

Kwahiyo hoja yako kifalsafa ingekuwa na maana endapo ingekuwa inaeleza kinyume ya hayo aliyosema Pohamba katika kujibu hoja ya msingi kuhusu mzazi wa Nape, dini ya Nape na dini ya Mzee Nnauye!!! Na hapo ndipo ungesema jamaa ni muongo; kwamba, Nape si mtoto wa Mzee Nnauye, sio Mkristo na Mzee Nnauye hakuwa Mwislamu!!!!

Kinyume chake, unasema jamaa ni muongo na kujiegemeza kwenye uana-falsafa wakati hoja uliyosimamia sio hoja ya msingi inayoweza kujibu hoja kuu ya mleta mada kuhusu Nape na Mzee Nnauye!!!

Mbaya zaidi una-conclude: Hapa unakubali kwamba kumbe ni kweli mama wa kambo wa Nape alimkana Nape!!! Sasa ni mazingira yapi yaliyokuwa yamemfanya huyo mama wa kambo kumkana Nape?! Ni kwamba walikuwa mahakamani wanagombea urithi na ndipo habari za kukanwa kwa Nape zikaripotiwa; au ilitokeaje?!

Hivi hapo napo nina ulazima wa kuwa Mwanafalsafa kufahamu palikuwa na mkono wa mtu?? Na kwamba mkono wenyewe ni wa kisiasa?!
Kwanza, Rudia kusoma tena paragraph niliyo tolea ufafanuzi. Paragraph hiyo ndio ulikuwa msingi na kolezo la hoja yake. Mengine ilikuwa blah blah. Alitaka kuingiza Siasa kubainisha kuwa Nape alikuwa official family member ila tatizo lilikuwa CCM ya Mzee Makamba kuhonga mjane kusudi familia imkane Nape.
Pili, nikushauri kuwa kitabu hueleweka baada kukisoma chote na kufahamu maudhui, likewise kwa Makala, passage, paragraph au sentensi kama imeandikwa peke yake. Ukichomoa ukurasa mmoja kwenye kutabu usidhani kuwa umeelewa maudhui ya kitabu husika. Vile vile kwa Makala, passage, paragraph au sentensi iwapo imesimama peke yake. Ukichomoa kuisoma na kuielewa sentensi kutoka kwenye paragraph/passage kuwezi kudai kufahamu mahudhui ya passage au paragraph. Read the entire paragraph to comprehend the content. Vinginevyo maelezo yako ni kazi bure.
 
Alikua ni muislam mdau,jina lake ni halisi ni Mussa Nnauye,Moses alijipa ili apate nafasi ya kusoma shule za mission enzi hizo walikua wanatakiwa kusoma kwenye shule hizo wakristo tu,wengi walibadili majina hata marehemu kighoma malima anaingia kwenye kundi hili!
Kighoma alikuwa akitumia Jina gani mkuu?
 
Kwanza, Rudia kusoma tena paragraph niliyo tolea ufafanuzi. Paragraph hiyo ndio ulikuwa msingi na kolezo la hoja yake. Mengine ilikuwa blah blah. Alitaka kuingiza Siasa kubainisha kuwa Nape alikuwa official family member ila tatizo lilikuwa CCM ya Mzee Makamba kuhonga mjane kusudi familia imkane Nape.
Pili, nikushauri kuwa kitabu hueleweka baada kukisoma chote na kufahamu maudhui, likewise kwa Makala, passage, paragraph au sentensi kama imeandikwa peke yake. Ukichomoa ukurasa mmoja kwenye kutabu usidhani kuwa umeelewa maudhui ya kitabu husika. Vile vile kwa Makala, passage, paragraph au sentensi iwapo imesimama peke yake. Ukichomoa kuisoma na kuielewa sentensi kutoka kwenye paragraph/passage kuwezi kudai kufahamu mahudhui ya passage au paragraph. Read the entire paragraph to comprehend the content. Vinginevyo maelezo yako ni kazi bure.
We jamaa unachekesha si kidogo... yaani unafanya assumption kutokana na vile unavyofikiri wewe!!!!

Nakukumbusha: Hoja iliyoletwa mezani ni: (i) Baba yake Nape ni nani? (ii) Dini ya Nape ni ipi? (iii) Dini ya Mzee Nnauye ni ipi? Na kwa nyongeza tu... kama Mzee Nnauye alikuwa Mwislamu, why aitwe Moses!!!

Hizo ndizo hoja za msingi za hii mada!!! Kwahiyo ulitakiwa kusema uongo kwa hoja yoyote itakayosema au kuashiria kudai: Baba yake Nape ni xyz (but sio Mzee Nnauye), Nape ni Mwislamu, Mzee Nnauye alikuwa Mkristo na Mzee Nnauye aliitwa Moses kwa sababu ndo jina la ubatizo!!!

Ungekuwa ni mweledi wa hizo falsafa zako, ungesema "we jamaa ni muongo kwa hayo majibu hapo juu!" Kinyume chake, umeambiwa Nape ni mtoto wa nje wa mzee Nnauye na kwamba wakati Nape ni Mkristo kutokana na dini ya mamake, mzee Nnauye alikuwa Mwislamu na aliitwa Moses kwa ajili ya kutafuta nafasi za kusoma!!

Hapo wewe unasema UONGO....aaaaaargh! Una-conclude kwa kusema mchangiaji mada ni muongo kwa hoja ambayo sio msingi wa mada kuu!!

Lakini hata hiyo unayosema ni uongo, mchangiaji alikuwa anajaribu kufafanua huu mkanganyiko wa Nape ulitokea vipi... na ndipo alipozungumzia suala la mke wa ndoa wa mzee Nnauye kutumika na akina mzee Makamba!!!

Hilo ndilo unabisha ingawaje halikuwa msingi wa mada lakini ukalifanya ndilo lenye uhalali wa kufanya hoja mzima kuwa uongo!! Lakini pamoja na yote hayo, mwishoni unakiri kwamba mama wa kambo wa Nape alimkataa Nape kwamba sio mtoto wa mzee Nnauye!!!

Nimekuuliza na hujanipa jibu! Narudia tena hapa: Ni mazingira gani yalisababisha huyo mama wa kambo wa Nape kumkataa Nape?!

Mzee Nnauye alifariki mwaka 2001, kwanini huyo mama atokee hadharani miaka kadhaa baadae na kumkana Nape kwamba sio mtoto wa mzee Nnauye? Kwanini hayo yatokee wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi wa UVCCM?

And remember, Mzee Nnauye ni miongoni mwa viongozi wanaotajwa walifariki dunia wakati wakiwa maskini!! Heri basi Mzee Nnauye angekuwa ni aina ya wanasiasa wenye ukwasi. Hapo tungesema labda huyo mama alifikia hatua ya kumkana Nape ili kumwondoa kwenye ufalme wa urithi wa mali za mzee Nnauye!

Hivi bado pamoja na yote hayo mtu anahitaji kuwa mwanafalsafa kufahamu kwamba alitumika na wanasiasa?!

In short, wewe ndo unaleta siasa... tena siasa za majitaka kwa sababu zilizo wazi kabisa!! Wewe ni mmoja wa wale wanaotetea kila kinachoendelea serikalini! Na tangia Nape aanze kwenda against JPM na kufukuzwa kazi; watu kama nyinyi mkaanza kuleta threads na comments za kuonesha jinsi Nape alivyo mtu wa hovyo!!!

Na katika kuthibitisha ni wewe ndie unaleta siasa tena siasa za majitaka, ndo maana wala hukuona aibu kusema:
...kabla ya kuja Dar es Salaam (2002 kama sikukosea) na kufikia mtaa wa Lumumba, Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM (hakuwa na mahali pa kufikia - alizamia kama wazamia meli waitwao stowaways). Nape alipokelewa baada ya kujitambulisha kwa jina la babake Moses Nnauye (RIP). Ofisi ya CCM ilimpokea na kumlea kama hisani kwa Mzee Moses Nnauye kwa kuwa hakukuwa na mtoto yeyote mwingine kutoka familia rasmi ya Mzee Nnauye aliyekuwa akijihusisha na Siasa.
Mtu hana sababu ya kuwa mwanafalsafa wa level zako kufahamu ulilenga kum-discredit kama ambavyo mmekuwa mkifanya!!

Na cha ajabu zaidi, hayo umeyaleta wakati hayakuwa msingi wa mada... sasa sijui zilikuwa na umuhimu gani simulizi za Nape kuzamia na kufadhiliwa na CCM Lumumba!! Na simulizi hizo zinakuwa za hovyo zaidi na kukosa maana yoyote hasa ukizingatia uliyekuwa unamjibu hakuzungumzia popote juu ya namna gani Nape alifika Dar es salaam!!!

Very cheap politics!
 
unajua kumekuwa na wanosema ni wa Mwandosya, wa Nauye na wewe ni wa Haule, lazima kuwa na maelezo ya kutosha
Mama sibado yupo?aulizwe vizuri.Na je wale watoto na mke wa Mzee Moses wa ndoa kwasasa bado msimamo wao hawamtambui Nape?
 
Tatizo mama yake,hivi ndio mumesema ni Singida?basi nimepata jibu kwanini baba zaidi ya wa3
Mwenye jibu la baba wa huyu jamaa ni mama yake mzazi. Humu tutaishia kuleta tu hisia zetu zisizo na msingi, mara haule, sijui mwandosya, membe n.k. lakini jibu analo mama yake.!
 
Alikua ni muislam mdau,jina lake ni halisi ni Mussa Nnauye,Moses alijipa ili apate nafasi ya kusoma shule za mission enzi hizo walikua wanatakiwa kusoma kwenye shule hizo wakristo tu,wengi walibadili majina hata marehemu kighoma malima anaingia kwenye kundi hili!

Kighoma malima baada ya kuona udhalimu huu akabadili mfumo wa majina kuwa namba, nadhan nyerere hakupenda akampiga zengwe. Mfumo kristo
 
Back
Top Bottom