Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

Mzee ameacha kumbukumbu mbaya sana kwetu. Sio kwa yale aliyoyafanya kwa nchi yake bali kiumbe alichoacha kwenye familia yake. Ametuachia mtoto mwenye kiburi, kiziwi, mipasho, vuvuzela ambaye amekuwa mzigo kwa taifa ambalo baba huyu alikuwa kioo! Kama tatizo sio malezi yake basi ni hujuma na ushawishi wa mafisadi ndio vilimzidi nguuu mwanae. Tutaendelea kumwombea mzee wetu huyu wakati tukiendelea kupambana na mafisadi waliomwaribu mwanae ili angalau afuate yale mema na mazuri aliyoyafanya baba'ake kwa nchi yetu. R. I. P mzee Nnauye!
Sina uhakika kama ni baba yake, wanaojuwa waje kutuambia aise..Ila kweli jamaa ananikera akiongea basi tu, ujuaji na nini, hakuna kitu pale, povu tupu...
 
Si ndio kilichofanyika, hakuna uongo hapo
Wewe ulitaka kutuaminisha kuwa mamake wa kambo Nape alimkana [Nape] kwa kuwa alipewa pesa na CCM wakati ukweli ni kuwa marehemu Nnauye hakuwahi kumtambulisha (mainstream) Nape kwenye familia yake.
 
Unamaanisha mzee Moses alimkana Nape kabla hajafariki?
Pengine utakuwa hujui kuwa viongozi wa CCM na hata serikali siku za nyuma walizaa watoto wengi nje ya ndoa ambao hawakuwa-mainstream, Kwa mfano kuna watoto wa Malecela, Kawawa, Sepetu [Wema] na wengine, ambao wanajulikana kuwa watoto wa hao vingunge, lakini licha ya kuwasomesha na baada ya masomo kuwatafutia nafasi nono serikalini, hawakuwahi kuwa-mainstream kwenye familia zao. Nape ni mmoja wao.
 
Pengine utakuwa huji kuwa viongozi wa CCM na hata serikali siku za nyuma walizaa watoto wengi nje ya ndoa ambao hawakuwa-mainstream, Kwa mfano kuna watoto wa Malecela, Kawawa, Sepetu [Wema] na wengine, ambao wanajulikana kuwa watoto wa hao vingunge, lakini licha ya kuwasomesha na baada ya masomo kuwatafutia nafasi nono serikalini, hawakuwahi kuwa-mainstream kwenye familia zao. Nape ni mmoja wao.

Sasa kutowatambua rasmi kwny Makaratasi maana yake sio Watoto wako?

Hata Mie Nina watoto sijawatambua kwny Makaratasi laki haimaanishi sio wangu

Hajui kuwa hata Watoto wa Jk wasio rasmi wanakaribiana kwa idadi na wale rasmi, mmoja wapo yupo Shinyanga na ndie Supplier wa Stationeries kwny Migodi kadhaa

Kila alipokaa Jk 'alipatendea haki' kuanzia Singida, Tabora, Nachingwea, Znz n.k
 
Wewe ni mwongo. Nape ni mtoto wa nje wa marehemu Moses Nnauye. Alisoma (Nsumba SS kama sikukosea) Mwanza mama yake alikokuwa akiishi na baadaye ujombani Singida kabla ya kuja Dar es Salaam (2002 kama sikukosea) na kufikia mtaa wa Lumumba, Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM (hakuwa na mahali pa kufikia - alizamia kama wazamia meli waitwao stowaways). Nape alipokelewa baada ya kujitambulisha kwa jina la babake Moses Nnauye (RIP). Ofisi ya CCM ilimpokea na kumlea kama hisani kwa Mzee Moses Nnauye kwa kuwa hakukuwa na mtoto yeyote mwingine kutoka familia rasmi ya Mzee Nnauye aliyekuwa akijihusisha na Siasa. Utakumbuka kuwa watoto wa viongozi waandamizi wa CCM; JK Nyerere, Rashid M Kawawa, Ali Hassan Mwinyi, Abdul Wakil, John Samuel Malecela (mtoto wake Ipyana (RIP) liyekuwa Mwenyekiti UVCCM, DSM, alikufa kwa sumu kwenye kampeni za UVCCM 2001) , Abdul Jumbe Mwinyi, Abdallah Natepe, Lawi Sijaona, Peter Siyovelwa na wengineo walikuwa wamerithishwa mikoba ya wazazi wao ndani ya CCM au Serikali. Mzee Moses Nnauye alikuwa mdhibiti mkuu (M/kiti wa Kamati) wa nidhamu CCM HQ. Ukweli ndio huo.
Kwa hiyo Nappe Wakati anapokelewa hapo Lumumba Baba yake alikuwa hai au wakati ameshafariki.?
 
Maajabu haya... sasa ni kipi ulichoongea kinachokinzana na yale aliyoongea Pohamba?! Kwamba jina halisi la Mzee Nnauye ni Mussa, au?!

Ukisoma jitahidi kuelewa falsafa ya ujumbe unaotolewa na Mwandishi.
Phrase kuwa: Wakati wa Mchakato wa Uenykt wa UV CCM wanamtandao wa Lowassa wakiongozwa na Mzee Yusuph Rajab Makamba walienda 'kumtengeneza' ni Mwanaisha Mke wa Ndoa wa Afande Nnauye amkane Nape na kweli akasaidiwa kuitisha Press conference akamkana Nape kuwa si wala hajawahi kuwa Mtoto wa Mzee Nauye kwa kuwa kwny Wosia wa Marehemu alioacha Kwny orodha ya Watoto wake Nape hakuwepo!
si sahihi na ilikusudia kutuaminisha kuwa Nape alikuwa anafahamika rasmi kwenye familia ya marehemu Moses Nnauye. This is an incorrect presentation. Nape was neglected by biological father therefore never was he formally mainstreamed in Moses Nnauye's family. Hivyo kitendo cha mamake wa kambo kumkana kilkuwa sahihi.
 
Ni Nape huyu huyu ana dada watatu na Kaka watatu waliochangia baba.
Ana dada anaitwa Coletha, Zawadi na mmoja jina limenitoka.
Ana Kaka zake mmoja anaitwa William ambaye ni mwanajeshi, Max na mwingine alikua anasimamia gari za mzee wake coaster jina limenikimbia kidogo.
Nadhani hata yeye anawafahamu.
unajua kumekuwa na wanosema ni wa Mwandosya, wa Nauye na wewe ni wa Haule, lazima kuwa na maelezo ya kutosha
 
Hajui kuwa hata Watoto wa Jk wasio rasmi wanakaribiana kwa idadi na wale rasmi, mmoja wapo yupo Shinyanga na ndie Supplier wa Stationeries kwny Migodi kadhaa

Kila alipokaa Jk 'alipatendea haki' kuanzia Singida, Tabora, Nachingwea, Znz n.k
.... sikutaja wote, ila nilisema na viongozi wengineo.....
 
Ukisoma jitahidi kuelewa falsafa ya ujumbe unaotolewa na Mwandishi.
Phrase kuwa: Wakati wa Mchakato wa Uenykt wa UV CCM wanamtandao wa Lowassa wakiongozwa na Mzee Yusuph Rajab Makamba walienda 'kumtengeneza' ni Mwanaisha Mke wa Ndoa wa Afande Nnauye amkane Nape na kweli akasaidiwa kuitisha Press conference akamkana Nape kuwa si wala hajawahi kuwa Mtoto wa Mzee Nauye kwa kuwa kwny Wosia wa Marehemu alioacha Kwny orodha ya Watoto wake Nape hakuwepo!
si sahihi na ilikusudia kutuaminisha kuwa Nape alikuwa anafahamika rasmi kwenye familia ya marehemu Moses Nnauye. This is an incorrectly presentation. Nape was neglected by biological father therefore never was he formally mainstreamed in Moses Nnauye's family. Hivyo kitendo cha mamake wa kambo kumkana kilkuwa sahihi.

Wewe itakuwa Mtoto Mdogo Mdogo au huna Fikra pana!

Mtoto wako ni wakwako haijalishi ulimtambulisha kwny karatasi za Wosia au ulimfahamisha kwa Mkeo wa Ndoa!

Watoto wa Jk ni wengi kuliko wale aliowatambua kwny CV yake ya kugombea Urais hiyo haimaanishi wale wengine sio Watoto wake!

Wewe ukiwa Mgonjwa unauguzwa na Mkeo wa Ndoa na hukuwahi kumtambulisha kuwa una Watoto wa Nje utapata ujasiri wa kumtambulisha Dakika za Mwisho ukiwa unamtegemea zaid kukuuguza unaposhauriwa andika Wosia?

Sie tuliowahi kuwa karibu kwa namna fulani na Afande Nnauye tulimfahamu zaid Nape Kama Mtoto wake kuliko hao wa kwny Wasia kW kuwa hatukuwahi kumuona nao hao vijiweni kwetu KT Shop na maeneo Mengine.

Usiwe na Mawazo kuwa kila usichokijua ni uongo utakuwa Blocked mind!
 
Sasa kutowatambua rasmi kwny Makaratasi maana yake sio Watoto wako?

Hata Mie Nina watoto sijawatambua kwny Makaratasi laki haimaanishi sio wangu

Hajui kuwa hata Watoto wa Jk wasio rasmi wanakaribiana kwa idadi na wale rasmi, mmoja wapo yupo Shinyanga na ndie Supplier wa Stationeries kwny Migodi kadhaa

Kila alipokaa Jk 'alipatendea haki' kuanzia Singida, Tabora, Nachingwea, Znz n.k
Usisahau Dodoma. Hapa napo alifanya yake!
 
Wewe itakuwa Mtoto Mdogo Mdogo au huna Fikra pana!

Mtoto wako ni wakwako haijalishi ulimtambulisha kwny karatasi za Wosia au ulimfahamisha kwa Mkeo wa Ndoa!

Watoto wa Jk ni wengi kuliko wale aliowatambua kwny CV yake ya kugombea Urais hiyo haimaanishi wale wengine sio Watoto wake!

Wewe ukiwa Mgonjwa unauguzwa na Mkeo wa Ndoa na hukuwahi kumtambulisha kuwa una Watoto wa Nje utapata ujasiri wa kumtambulisha Dakika za Mwisho ukiwa unamtegemea zaid kukuuguza unaposhauriwa andika Wosia?

Sie tuliowahi kuwa karibu kwa namna fulani na Afande Nnauye tulimfahamu zaid Nape Kama Mtoto wake kuliko hao wa kwny Wasia kW kuwa hatukuwahi kumuona nao hao vijiweni kwetu KT Shop na maeneo Mengine.

Usiwe na Mawazo kuwa kila usichokijua ni uongo utakuwa Blocked mind!
Nilichokifanya ni kusahihisha kilichokuwa kimepinda kwenye maelezo ya mchangiaji. Hayo mengine ni hisia ambazo siyo sehemu ya tunachokijadili hapa.
 
Mbona kwenye hiyo "kadi" sioni jina la Nape, ila wewe mleta uzi umeliweka kwenye maneno yako.!!!!!!
 
Nilichokifanya ni kusahihisha kilichokuwa kimepinda kwenye maelezo ya mchangiaji. Hayo mengine ni hisia ambazo siyo sehemu ya tunachokijadili hapa.

Hukupaswa kutumia Nguvu kubwa ile kuita Watu wa Uongo kwa kitu kidogo vile!

Hata Wosia wenyewe tunaweza kuu challenge kwa kuwa uliibuliwa baada ya Nape kuchukua form ya Uenykt wa UV CCM!

Kabla ya hapo hata Watoto wa Ndoa wa Afande Nnauye walikuwa wakimtambua na kuwasiliana na Nape Kama Kaka Yao wa Mama Mwingine

Kwa kukusaidia tu Nape Alikuwa Chipukizi wa Umoja wa Vijana kabla Baba Yale hajafariki
 
Hukupaswa kutumia Nguvu kubwa ile kuita Watu wa Uongo kwa kitu kidogo vile!

Hata Wosia wenyewe tunaweza kuu challenge kwa kuwa uliibuliwa baada ya Nape kuchukua form ya Uenykt wa UV CCM!

Kabla ya hapo hata Watoto wa Ndoa wa Afande Nnauye walikuwa wakimtambua na kuwasiliana na Nape Kama Kaka Yao wa Mama Mwingine
Kinyume cha correct ni incorrect, period. Hayo mengine ni Siasa zenu. Hazituhusu
 
Back
Top Bottom