Kumbukumbu na shukrani kwa ushirikiano

Kumbukumbu na shukrani kwa ushirikiano

Number do lie sometimes sisi tuliopo katika jamii tunaelewa mambo mengi

Kwahiyo as I told you next time jaribu kujipanga .

Mimi nakupongeza kwakuwa umejaribu kuleta changes Ila bado safari ni ndefu sana and I wish after general election uwe appointment to the same Wizara.

All the best tunakuombea.
Next time labda utakuwa wewe au mmoja wenu humu🤗

Ila huo ni utafiti wa kimataifa kama mnavyozikubali tafiti zingine zote, na huo muukubali tu.
 
Hongera sana Mheshimiwa.
My Congratulations to Mheshimiwa Rais, I wish Her Afya Njema na Mafanikio.
Mamndenyi, hizo congratulations zako badala ya kumpa Dr Gwaji unazipeperushia Kizimkazi... Au Ndiyo tecnologia (in Italian accent)
 
Wasaalam.

Tarehe 14 Julai, 2025 nimekuwa sehemu ya Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Sita tangu iingie madarakani, kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025.

Picha ya 1 ni ya kumbukumbu ya Wajumbe wa Baraza tukiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka.

Picha ya 2 nikitembea kwenye viwanja vya Ikulu ya Chamwino kuwahi Kikao husika.

Hakika, Mungu ni mwema kutuwezesha kuiona siku hii ya kihistoria⚘️🇹🇿.

Ahsanteni sana Wananchi wote na Wadau wote kwa ushirikiano wenu.

Tuendelee kushirikiana daima kuelekea Uchaguzi Mkuu hapo Oktoba 2025✍️🇹🇿.
View attachment 3405905
View attachment 3405906
Waziri bora wa taifa....
 
Kwanza hongera sana.pili pia nikupongeze kwa kuwa mvumilivu kuna kipindi kule x ulioigwa sana spana lakini ulionesha ukomavu.
😀spana kama spana. Ndani ya moyo wa mtu ndiyo kuna spana za kumuangamiza. Hizi za walimwengu ambazo, watu wanakutana kwa kusudi lao juu yako, na wanaambukiza wengine hata kuuliza ukweli hawataki, halafu wanatafuta upande hasi tu kuhusu wewe, upande chanya wanafukia, mimi nazionaga kama burdani ya wakati tu, na wakati ukishapita, yote hudhihirika uhalisia.

Tuendelee kumshukuru Mwenyezi Mungu, mfalme wa nyakati.
 
Next time labda utakuwa wewe au mmoja wenu humu🤗

Ila huo ni utafiti wa kimataifa kama mnavyozikubali tafiti zingine zote, na huo muukubali tu.
Ahaa 🤗🤗 I believe in professionalism , but number do lie mainly in Africa .

Sisi tumeona jinsi umekuwa front , kujitoa , kujituma n.k

Ndo maana katika wizara zilizofanya vizuri na ya kwako IPO .

Ila you have to accept constructive criticism.

Ukiwa uwanjani ni ngumu kuona makosa yako .

So sometimes you have to leave from the pitch and see who is this guy.
 
Watanzania tunakupenda wewe hata upinzani upate viti vyote tutahakikisha tunachomelea chako cha ziada tuzidi kukuona unanawili
You are the real definition of women power

Usipite bila Like mh Waziri
 
Kwa mara ya kwanza leo nimesoma komenti zote na zote zinampongeza waziri kwa kazi nzuri .Kumbe Watanzania wanajua nani anachapa kazi na nani mbabaishaji( kazi yako itakubeba).Na mimi ni nani niende tofauti na wanajamvi?!.Hongera kwa kazi nzuri Mama.
Tatizo wana jamvi huyu ndiye Malkia wetu. Lakini 'wahuni' wanamkubali'
 
Ahaa 🤗🤗 I believe in professionalism , but number do lie mainly in Africa .

Sisi tumeona jinsi umekuwa front , kujitoa , kujituma n.k

Ndo maana katika wizara zilizofanya vizuri na ya kwako IPO .

Ila you have to accept constructive criticism.

Ukiwa uwanjani ni ngumu kuona makosa yako .

So sometimes you have to leave from the pitch and see who is this guy.
Hicho ndiyo nilichofanikiwa, pokeeni hicho hicho hakuna kingine, wengine watafanya zaidi, ujenzi wa Taifa unaendelea jamani🤗
 
Wasaalam.

Tarehe 14 Julai, 2025 nimekuwa sehemu ya Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Sita tangu iingie madarakani, kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025.

Picha ya 1 ni ya kumbukumbu ya Wajumbe wa Baraza tukiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka.

Picha ya 2 nikitembea kwenye viwanja vya Ikulu ya Chamwino kuwahi Kikao husika.

Hakika, Mungu ni mwema kutuwezesha kuiona siku hii ya kihistoria⚘️🇹🇿.

Ahsanteni sana Wananchi wote na Wadau wote kwa ushirikiano wenu.

Tuendelee kushirikiana daima kuelekea Uchaguzi Mkuu hapo Oktoba 2025✍️🇹🇿.
View attachment 3405905
View attachment 3405906
Nawe ni miongoni mwa wale wachache ambao walikua na misimu Bora kwenye idara zao walizokua wakihudumu.
 
Back
Top Bottom