Kumbukumbu na shukrani kwa ushirikiano

Kumbukumbu na shukrani kwa ushirikiano

Kama utarudi ,Wizara hii...ongeza nguvu kwenye eneo la Wazee! Tofauti na Eneo la Afya,huduma kwa Wazee Bado ni changamoto....kitengo husika kina walakini!
Kazi ya kwanza ilikuwa kuhuisha sera ya wazee iliyokuwa imeisha tangu 2003, tumekamilisha na imetoka toleo jipya. Siyo kazi rahisi. Pia, kuunda baraza la wazee taifa na miongozo yake. Haikuwa kazi ndogo.

Baada ya hapo, mengine yatafuata. Kumbuka, wizara ilikuwa imeundwa rasmi Januari 2022.
Kazi itaendelea na wajao kwa mapenzi ya Mungu.
 
Wasaalam.

Tarehe 14 Julai, 2025 nimekuwa sehemu ya Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Sita tangu iingie madarakani, kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025.

Picha ya 1 ni ya kumbukumbu ya Wajumbe wa Baraza tukiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka.

Picha ya 2 nikitembea kwenye viwanja vya Ikulu ya Chamwino kuwahi Kikao husika.

Hakika, Mungu ni mwema kutuwezesha kuiona siku hii ya kihistoria⚘️🇹🇿.

Ahsanteni sana Wananchi wote na Wadau wote kwa ushirikiano wenu.

Tuendelee kushirikiana daima kuelekea Uchaguzi Mkuu hapo Oktoba 2025✍️🇹🇿.
View attachment 3405905
View attachment 3405906
Mimi Daktari ninaomba tu nikija Dodoma nipate mwaliko wa kuja kuzungumza na wewe ofisini kwako japo kwa dakika 10 tu kabla ya muda wako wa kukabidhi ofisi ya umma. Asante.

I am looking forward to hearing from you.
 
Wasaalam.

Tarehe 14 Julai, 2025 nimekuwa sehemu ya Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Sita tangu iingie madarakani, kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025.

Picha ya 1 ni ya kumbukumbu ya Wajumbe wa Baraza tukiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka.

Picha ya 2 nikitembea kwenye viwanja vya Ikulu ya Chamwino kuwahi Kikao husika.

Hakika, Mungu ni mwema kutuwezesha kuiona siku hii ya kihistoria⚘️🇹🇿.

Ahsanteni sana Wananchi wote na Wadau wote kwa ushirikiano wenu.

Tuendelee kushirikiana daima kuelekea Uchaguzi Mkuu hapo Oktoba 2025✍️🇹🇿.
View attachment 3405905
View attachment 3405906
Hizi pongezi zinathibitisha kuwa "wateja" wako waliridhishwa na huduma yako. Pongezi zao ni "tipu" zao kwako!

Hongera sana mkuu! Kazi yako itaedelea kukusemea kwa miaka mingi!

Ubarikiwe sana!!!
 
Wasaalam.

Tarehe 14 Julai, 2025 nimekuwa sehemu ya Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Sita tangu iingie madarakani, kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025.

Picha ya 1 ni ya kumbukumbu ya Wajumbe wa Baraza tukiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka.

Picha ya 2 nikitembea kwenye viwanja vya Ikulu ya Chamwino kuwahi Kikao husika.

Hakika, Mungu ni mwema kutuwezesha kuiona siku hii ya kihistoria⚘️🇹🇿.

Ahsanteni sana Wananchi wote na Wadau wote kwa ushirikiano wenu.

Tuendelee kushirikiana daima kuelekea Uchaguzi Mkuu hapo Oktoba 2025✍️🇹🇿.
View attachment 3405905
View attachment 3405906
Mtu akisema mitano tena kwa mama, wewe ndiye mama mwenyewe. Wakituambia hawamdai mama, wewe ndiye mama usiyedaiwa. Umeitendea haki nafasi yako na haukuwa unakimbilia makamera. Kwenye media umeonekana mara chache sana lakini kazi zako zimeacha alama. Nadhani ajaye, ana kazi ya kuhakikisha anavaa kiatu chako vizuri.
 
😀spana kama spana. Ndani ya moyo wa mtu ndiyo kuna spana za kumuangamiza. Hizi za walimwengu ambazo, watu wanakutana kwa kusudi lao juu yako, na wanaambukiza wengine hata kuuliza ukweli hawataki, halafu wanatafuta upande hasi tu kuhusu wewe, upande chanya wanafukia, mimi nazionaga kama burdani ya wakati tu, na wakati ukishapita, yote hudhihirika uhalisia.

Tuendelee kumshukuru Mwenyezi Mungu, mfalme wa nyakati.
Uko vizuri sana kichwani. Mungu akubariki na kukulinda usitoke kwenye mstari.
 
Back
Top Bottom