Kumbukumbu na shukrani kwa ushirikiano

Kumbukumbu na shukrani kwa ushirikiano

Wasaalam.

Tarehe 14 Julai, 2025 nimekuwa sehemu ya Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Sita tangu iingie madarakani, kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025.

Picha ya 1 ni ya kumbukumbu ya Wajumbe wa Baraza tukiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka.

Picha ya 2 nikitembea kwenye viwanja vya Ikulu ya Chamwino kuwahi Kikao husika.

Hakika, Mungu ni mwema kutuwezesha kuiona siku hii ya kihistoria⚘️🇹🇿.

Ahsanteni sana Wananchi wote na Wadau wote kwa ushirikiano wenu.

Tuendelee kushirikiana daima kuelekea Uchaguzi Mkuu hapo Oktoba 2025✍️🇹🇿.
View attachment 3405905
View attachment 3405906
Shekulu wakwalilye!!
 
Kila la kheri, Hakika uliitendea vyema wizara Yako, Mungu akufanikishe urejee Tena!
 
Hongera mama kwa kazi nzuri. We expect you again
 
Kwa mara ya kwanza leo nimesoma komenti zote na zote zinampongeza waziri kwa kazi nzuri .Kumbe Watanzania wanajua nani anachapa kazi na nani mbabaishaji( kazi yako itakubeba).Na mimi ni nani niende tofauti na wanajamvi?!.Hongera kwa kazi nzuri Mama.
 
ubarikiwe sana.tunakuombea urudi tna wizarani.mungu akubariki sana
 
Hongera Kwa Utumishi Uliotukuka.

Rais Wa Zanzibar siku hizi hashiriki?
 
Mama ni role model kwa wanawake wengi.
Kuanzia kwenye ngazi ya familia.
Kiuongozi kama Mbunge.
na kiuongozi kama Waziri.

ningekuwa jimbon kwake ningeenda kutick. japo sina Chama. ila nakubali harakat na moyo dhabiti alionao kwenye kutumikia jamii.
Kabisa, ni mfano bora sana 💯
Najua ni mbunge wa kuteuliwa, je uchaguzi huu amechukua fomu ya ubunge jimbo lolote?
 
Wasaalam.

Tarehe 14 Julai, 2025 nimekuwa sehemu ya Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Sita tangu iingie madarakani, kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025.

Picha ya 1 ni ya kumbukumbu ya Wajumbe wa Baraza tukiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka.

Picha ya 2 nikitembea kwenye viwanja vya Ikulu ya Chamwino kuwahi Kikao husika.

Hakika, Mungu ni mwema kutuwezesha kuiona siku hii ya kihistoria⚘️🇹🇿.

Ahsanteni sana Wananchi wote na Wadau wote kwa ushirikiano wenu.

Tuendelee kushirikiana daima kuelekea Uchaguzi Mkuu hapo Oktoba 2025✍️🇹🇿.
View attachment 3405905
View attachment 3405906

Mungu akubariki! Ingawa Mimi ni WA no reform no election, ila nitaangalia mahali karibu Mbunge ninyemkubali nimpigie kura, ningekupigia kura bila kuwaza mara 2, ila kwa nafasi ya U Rais, Hakika sitapiga kura
 
Hongera but next Kama utajaliwa kuwa waziri jaribuni kufanya mambo ambayo yataacha Alama kwa jamii

Ni kwamba wizara zote zimefanya Kazi ya kawaida Ila ya kwako at least 50% umefika .

Kuna mambo mengi nilikushauri haujafanya hata moja.

Hizi clip na Ku-catch attention za watu haimaanishi ni uchapa kazi.

jamii inazidi kuwa polluted so next time if God wishes jitahidi ujipange vyema Mkuu .
Sisi wizara hii, sehemu kubwa tunafanyia kazi ndani ya mioyo na fikra za watu. Masuala ya programu za uwezeshaji kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja mwanaume au mwanamke mfanyabiashara ndogondogo, fika NMB utapata mwongozo. Ujenzi na ukarabati wa vyuo, tembelea vyuoni. Mengine, soma utekelezaji uko www.jamii.go.tz. Hayo Mengine yataendelea, hakuna anayemaliza mambo yote ndani ya miaka 3 na nusu ya uhai wa wizara.
 
Attachments

  • IMG-20250610-WA0013(9).jpg
    IMG-20250610-WA0013(9).jpg
    274.1 KB · Views: 21
Sisi tunafanyia kazi ndani ya mioyo na fikra za watu.
Number do lie sometimes sisi tuliopo katika jamii tunaelewa mambo mengi

Kwahiyo as I told you next time jaribu kujipanga .

Mimi nakupongeza kwakuwa umejaribu kuleta changes Ila bado safari ni ndefu sana and I wish after general election uwe appointment to the same Wizara.

All the best tunakuombea.
 
Mungu azidi kukupa hekima zaidi na zaidi
 
Back
Top Bottom