Kumbukumbu mjarabu

Kumbukumbu mjarabu

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
10712738_694362657308386_5292419692395671944_n.jpg


Kila mmoja alipitia mchezo huu utotoni, haijaoishi ni uswahilini au uzunguni. Wewe ulikuwa unapenda upewe cheo gani wakati wa kuucheza huu? Mimi nilikuwa ninapenda kuwa Baba.
 
Mimi nilikuwa napenda wakati wa kulala "baba na mama waka....."
 
Ahahaaaa,mie nilikua nakua mlinzi(jwtz)pale getini.nakumbuka tulikua tunatengeneza bunduki za mabua na tunatengeneza singe za mwiba wa katani,ulikua ukijifanya wewe "jambakuzi"ilikua lazima ukutane na singe.
Pia nakumbuka tulitengeneza simu kwa kutumia nyuzi fulani hivi za manila zilikua zikitumika kufungia mizigo mizito pale kambini,tulitumia viberiti kuconect simu na tuliweza kufanya mawasiliano kwa umbali wa mita mpaka 300.ilikua raha sana.
Kukipikwa ubwabwa home basi siku hiyo unaoga mapema dar!!
Yani 1985-92 ilikua raha sana.
 
Back
Top Bottom