Mbona ukabila upo Sana na hata enzi hizi ukabila unakuja kwa kasi ya ajabu.Siasa za udini za ukabila zitakuja kuligharimu sana taifa hili kama hazitadhibitiwa mapema.
Mark my words...!!!
CCM, CHADEMA, ACT, CUF, NCCR wote hawapaswi kufanya siasa za udini wala ukabila kwa maana ni mbaya sana kwa mustakabali mwema wa Tanzania yetu.CCM MATAGA wameamua mdini mmoja hivi agombee ubunge kwa niaba yao!
Niliona huko kitambo ni mshenzi sana huyu mtu hafai.Wanaoweza kuiweka whatsapp ni muhimu iwafikie wana Kawe kwa umoja wetu.
Hii hapa:
View attachment 1588321
CCM MATAGA ndiyo wamezidisha mno udini, maana mgombea wao wa urais kila uchwao yupo kwenye madhabahu za watu!CCM, CHADEMA, ACT, CUF, NCCR wote hawapaswi kufanya siasa za udini wala ukabila kwa maana ni mbaya sana kwa mustakabali mwema wa Tanzania yetu.
Teuzi za Jamaa yako ni Udini tosha. Angalia askari wake wa miamvuli na watendaji wengine utajuaCCM, CHADEMA, ACT, CUF, NCCR wote hawapaswi kufanya siasa za udini wala ukabila kwa maana ni mbaya sana kwa mustakabali mwema wa Tanzania yetu.
Wakatoliki tumeshamsamehe Gwajima kupitia toba aliyoifanya kwa kardinali Pengo!
We sema CCM mumesameheana, endeleeni hayo hayatuhusu. Kwani Pengo ndo atapiga kura?Wakatoliki tumeshamsamehe Gwajima kupitia toba aliyoifanya kwa kardinali Pengo!