Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 11,000 Reaction score 23,500 Jun 6, 2025 #61 Lwasu said: Ogopa msoto kwa akili zako zote, kwa nguvu zako zote ila ni kipindi kizuri sana cha kuchuja yupi uendelee naye katika safari maana kila rangi utaiona mubashara!! Click to expand... Unashangaa watu wanakukataa ile ya mimi sikujui wewe,nikalie mbali.
Lwasu said: Ogopa msoto kwa akili zako zote, kwa nguvu zako zote ila ni kipindi kizuri sana cha kuchuja yupi uendelee naye katika safari maana kila rangi utaiona mubashara!! Click to expand... Unashangaa watu wanakukataa ile ya mimi sikujui wewe,nikalie mbali.
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,688 Reaction score 11,203 Jun 6, 2025 #62 Dalali wa mjini said: Wee Mzee WA yuropu miyeyusho Sana๐ Click to expand... Mdogo wetu amejipata baada ya msoto๐๐๐
Dalali wa mjini said: Wee Mzee WA yuropu miyeyusho Sana๐ Click to expand... Mdogo wetu amejipata baada ya msoto๐๐๐
Dalali wa Mjini JF-Expert Member Joined Oct 5, 2024 Posts 1,082 Reaction score 1,569 Jun 6, 2025 #63 Nelly said: Mdogo wetu amejipata baada ya msoto๐๐๐ Click to expand... Jitahidi nikuuzie kiwanja posta Mzee wa yuro
Nelly said: Mdogo wetu amejipata baada ya msoto๐๐๐ Click to expand... Jitahidi nikuuzie kiwanja posta Mzee wa yuro
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 12,904 Reaction score 14,620 Jun 7, 2025 Thread starter #64 Jobless_Billionaire said: Jamaa wa ajabu sana Click to expand... Cha ajabu nini sasa