Kumbukumbu baada ya msoto mkali

Pole sana, je ulichapwa / kufungwa riziki na ndugu? Maana ndugu bwana wana matatizo kwa kweli kwani kwenye ukoo akitokea mtu mmoja mchawi basi anafunga nadhiri ya kufunga ndugu wa wenzake ili tu aone wanavyoteseka achekelee.
Unalosema ni kwel kabisa, kuna watu kutaabika kwako ndo kunawapa amani ya moyo, nina mifano hai kabisa.
 
Hizi huo ni nyakati ngumu sana ktk maisha, na mara nyingi zinatokea baada ya kufanya mistake flani kwenye maisha...binafsi sitokaa nisahau maana hakuna rangi niliacha kuona! Namkumbuka jamaa yangu mmoja alienisitiri kipindi hicho Kwa malazi na chakula huku akienda na mimi kwenye vibarua vyake ili nipate chochote kitu! sikuwahi kumjua ila tulikutana tu ktk story! Popote alipo Mungu amzidishie mwamba ana roho ya kipekee! Natamani nijue alipo Kwa sasa nimlipe wema wake.
 
Bila Shaka Sasa hivi unaitwa babu kikweli sio Ile babu ya kiuskaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…