Kumbukizi Mujarab

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,154
13,223
1-IMG_5163.JPG
cc: cc:cc:cc:cc:cc
 
naona wote walikatika..........sababu ni moja tu ya kucheza ndondo
 
Ni matokeo ya kuwa na uongozi wa kiimla....wa kuabudu mawazo ya mtu mmoja, kwa sababu ya ukwasi wake. Matokeo yake ni ukosefu wa jitihada za pamoja katika kuhamasisha wachezaji na kupanga mikakati ya ushindi.
 
Wanajangwani yaliyopita si ndwele hebu jamani tugange yajayo maana hakuna jinsi maji yamesha mwagika
 
Back
Top Bottom