Kumbukizi: Leo ni siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alivoondoka Dodoma na kuhamia Chato, Geita

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
2,338
5,263
CHARITY BEGINS AT HOME.

Tofauti na viongozi wengine waliomtangulia, Mwalimu Nyerere hadi Kikwete, Mheshimiwa Rais Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa aina ya Viongozi wanaopapenda na kupapendelea sana kwao...

Kwa mfano, leo ni Siku ya 45 tangu Mheshimiwa Rais Magufuli alipoondoka Ofisini kwake Ikulu ya Chamwino, Dodoma na kuhamia nyumbani kwake/Kwao Chato, Geita. Na anapiga kazi tu kama Kawaida tukiacha matatizo madogomadogo ya kulalamikiwa na Viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, SADC na AU kuwa hapokei simu zao.

Viva Magufuli, Viva Tanzania, Viva Afrika, Viva Chato
..............................

Update:

Leo ni siku ya 46...tutaendelea kumhesabia

 
Bavicha mna kazi kweli kweli!

Jana nilimuona Mbowe akiongoza kikao cha kamati kuu kutokea sebuleni kwake sikushangaa!
 
Huo uwanja ndio ule wa Chato? mbona unaonesha cracks hapo!?
 
Mnahamasisha watu wakae majumbani ila mnataka Rais ajiexpose kwenye hatari, hivi hamnaga Cha maana Cha kuhoji mkaacha siasa za kitoto? Umepungukiwa Nini tangu Magufuli aende Chato- Geita- Tanzania?

Majukumu anayafanya Kama kawaida Bado mnalalamika.

Akae hata mwaka mzima, ilimradi awe salama na anatimiza majukumu yake. Bavicha hamnaga jema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni wa kupuuzwa kama wapuuzi wengine wa Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…