Kumbukizi: Freeman Mbowe akimpa tuzo Hoyce Temu (sasa Balozi mteule)

Unaposema "ile misimu ya kizamani" hata hiyo yako itakuja kuwa ya kizamani na vijana wa huo wakati ujao watakua wanashangaa uliwezaje kuwa na "lisimu la kizamani" hivyo.

Hata "bibi alikua binti"

Sent using Jamii Forums mobile app
da!uko sawa mkuu, hata hivyo huo mwaka ndo nilmaliza elimu ya msingi
Kwahiyo mpka nilivyokuja kumiliki simu hayo matoleo yalishapita
 
da!uko sawa mkuu, hata hivyo huo mwaka ndo nilmaliza elimu ya msingi
Kwahiyo mpka nilivyokuja kumiliki simu hayo matoleo yalishapita
1999 simu za mkononi zilikua zinamilikiwa na watu waliokua na pesa tu. Hata mawaziri wenye nazo walikua ni wa kuhesabu tu.

Hawa kina Freeman Mbowe ni watu ambao muda wote wamekua ni level nyingine sana. JK anamtambua sana Mbowe. Huyu mwingine mwendazake yeye hakua kwenye anga za Mbowe, ni mbaaali sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Billicanas haikuwa bar.

Tatizo lako umechelewa kuja mjini mambo mengi yamekupita ikiwemo mango garden!
Hawa vijana waliozaliwa miaka ya 90 na 2000 wamekosa mambo mazuri sana! Enzi hizo ukimiliki simu aina ya motorolla, nokia au siemens ulikuwa unaonekana ndiyo una pesa.

Kwa sisi watu pori, phillips zilitusaidia sana kwa miaka ile ya 2003 na kuendelea!!
 
Back
Top Bottom